ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,385
Kwan umelazimishwaa kuolewa naye?
kw wale wenye kuficha aina y kaz na kabila we unakuj gundua wakati wa ndoa kutangazwa just imagine.
Kwan umelazimishwaa kuolewa naye?
Na mimi hadi nimelia baada ya kusoma uzi wako,nakuomba nikuoe aisee,hebu kuja pm.
Na ndio maana nikakuuliza coz nimehisi origin yake, japo hata mimi sijui lina maana gani..!
unasubir nn
Ila papuchi inaliwa kama kawa eeee
Na ndio maana nikakuuliza coz nimehisi origin yake, japo hata mimi sijui lina maana gani..!
Kile ni kilio cha furaha, maana anauhakika sasa wa kulala uchi kila siku na mume wake, siyo kama zamani ambapo alikuwa analala uchi mara mojamoja tena kwa kuibaiba!
Analia kwa uoga asije yakamkuta kama Yule binti wa Nigeria.
je na wale wanaolia sku ya harus huku wakiwa wameishi tayar na wapenz wao mpaka wamezaa na watoto
hhahahaah!!! yani umenifanya nitoke church ili nikaangue kicheko nje
Na mimi hadi nimelia baada ya kusoma uzi wako,nakuomba nikuoe aisee,hebu kuja pm.
Bintii yupi