Hahaha umepinda mkuu, kama mizengo vileKile ni kilio cha furaha, maana anauhakika sasa wa kulala uchi kila siku na mume wake, siyo kama zamani ambapo alikuwa analala uchi mara mojamoja tena kwa kuibaiba!
Hilo swali la kipimajoto peleka ITV
Sijaolewa bado nadhani nikiolewa ntajua kwa nini nalia
Sijaolewa bado nadhani nikiolewa ntajua kwa nini nalia
Kulia kunatokana na kwamba..binti amelelewa tangu udogoni na familia yk..na ameizoea..kile kitendo cha kuondoka nyumbani ni cha huzuni..sababu anaenda anza maisha mapya na mtu ambaye mmejuana ukubwani....
Km naolewa na mjesh au mkurya unatacka ncheke nn
Wengine wanalia kwa sababu wanamwonea huruma bwana harusi alivouvaa mkenge
mmmmhhh haya wakuu mie ngoja cku ya ndoa yangu ikifika ndajua kwa nn nalia thn ndakupa jibu
Habari zenu ndugu, jamaa na marafiki, leo nimepata majibu ya swali niliokuwa najiuliza kwa miaka kadhaa sasa kwamba kwanini baadhi ya mabinti hasa wa miaka kadhaa hivi ya nyuma walikuwa wanalia siku zao za harusi?
Sasa leo kwenye kituo kimoja cha redio cha hapa nchini kilikuwa na mada hii, na mmoja wa wachangiaji akasema kwamba eti moja ya sababu ya mabinti hao kulia ni kuwa kuwaacha ndugu zake aliowazoea
Na hii ilisababishwa na mabinti hao kuolewa na wanaume ambao hawajawahi kukutana nao kimwili au hata kuwa nao karibu, sasa kule kulia ni njia ya kupambana na mawazo mengi yanayomzunguka kwamba anakwenda kuanzisha uhusiano na mtu asiyemzoea
Sasa swali je ni kweli????