freeboy
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 242
- 191
Vilio vya kweli vilikua zaman sio kipindi hiki watu washajuana na kuish kinyumba miaka kibao halafu siku ya harus analia ni usani tu hakuna lolote hapo.
Zaman mabinti walikua wanalia kutokana na mengi kwanza furaha na pia kuachana na ndugu zake isitoshe wengine walikua wanaolewa na kwenda kukaa mbali mana mtu anatoka mji fulan kwenda kuona mji mwingine.
Kingine kilichokua kinawaliza ni kufikiria kwenda kufanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza (asilimia kubwa walikua bado b.k.r) sio vizaz vya sasa washajua size zote za mgegedo.