Kwanini mabaya ya marehemu hayasemwi hata kama akiuawa kwenye tukio la uhalifu?

Sio Uchu,
anaeleza ya moyoni.
Au unamuonea wivu?

Labda nimuonee huruma!
Wivu?
Wakati naona unamsindilia miugali kwa fish wa kuss'nifu ?
Na kuna siku utampa chai bila sugar !
Akiuliza wapi sugar ?
Utamwambia akai'google !
 
Jamani mtu akifa amekufa anasubiri ufufuo wa mara ya pili Yesu ataporudi kywachukua walio wake wengine watasubiria kuchomwa moto kwenye ziwa la moto.
Ukifa hauendi popote ni hapa hapa unabaki

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kufa unapotelea mbali hakuna ziwa wala maziwa unaozea palle kinondoni kama kanumba tu acheni kutishana kwanza utaenda we mkulya kama nani wkt huna babu wala mwafrika mwenzio nabií?
 
Wew anasemwa hujawahi kuona humu jf??embu pitia uzi wa marehemu liberatus barlow ndiyo utajua kuwa jf ni kiboko wanampa marehemu aisee sijapata kuona
 
Wew anasemwa hujawahi kuona humu jf??embu pitia uzi wa marehemu liberatus barlow ndiyo utajua kuwa jf ni kiboko wanampa marehemu aisee sijapata kuona



Nimekumiss amu hujambo bibie..??
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom