Kwanini mabaya ya marehemu hayasemwi hata kama akiuawa kwenye tukio la uhalifu?

watu8 kwanza sijasema place nmesewa plane (ukiweza goole 'seven body' na 'seven plane' itakusaidia kuelewa!
 
Last edited by a moderator:
watu8 kwanza sijasema place nmesewa plane (ukiweza goole 'seven body' na 'seven plane' itakusaidia kuelewa!

najua umesema plane mkuu, maana yako unaongelea mtu huenda dimension nyingine...hilo neno place lisikuchanganye

mathematically plane na place inaelezea kitu kile kile, a place could simply refer a particular point in a certain plane(dimension).
 
Last edited by a moderator:
We let bygone be bygones ,maana anayejua ni mungu pekee inawezekana mfu ana mengi mabaya zaidi ya watu wajuavyo all in all haisaidii kitu kusema sema mazuri au mabaya
 
najua umesema plane mkuu, maana yako unaongelea mtu huenda dimension nyingine...hilo neno place lisikuchanganye

mathematically plane na place inaelezea kitu kile kile, a place could simply refer a particular point in a certain plane(dimension).

Goole basi ili twende pamoja
 
Mtu akishakufa kinachobaki ni kumwombea ili apate pumziko la milele huko aendako!

Mabaya yake ataenda kuyakuta mbele ya safari, hata ukiyasema wakati ashakufa itasaidia nini?

Khaa!
We SL kumbe una maakili kihivi !
Ingekua sijananii, ningekunanihii !
Nway mtaani kwenu tume ya Waliyoba (Warioba) ishapita?
Watu kama wewe au KIPIPI au KING'ASTI msipotia mawazo yenu tume itarudi na hasara .
 
Hehehehe ahsante shemeji!

Bado haijapita asee ila naisubiri kwa hamu!
 
Goole basi ili twende pamoja

why should I google jaman na wewe una majibu yote, unajua the reason i asked ni kuwa I was expecting supporting answers from you defending ur facts...
anyway to make things short nitagoogle basi...
 
why should I google jaman na wewe una majibu yote, unajua the reason i asked ni kuwa I was expecting supporting answers from you defending ur facts...
anyway to make things short nitagoogle basi...

Mie pia niligoogle nikajisomea na kujua hicho nilichojua............ni ndefu sana siwezi kuiweka hapa ndio mana nikakwambia na wewe u google.
 
Huko hakuna kunywa wala kula.......!
Ni kumsifu Mwenyezi MUNGU usiku na mchana.....!
Hana njaa wala magonjwa.........!:A S embarassed::shock::A S embarassed:
 
Back
Top Bottom