Na kuna shule zilikuwa zinasikika kuwa mwanafunzi wa kike akifika anakuwa ameshachaguliwa na mwanamme, hakuna kusema hapana maana mateso yake hayavumiliki, mojawapo ilikuwa Mkwawa High School
mkuu umenena ningemuua mchana peupe.na kila mtu angeona na kushuhudiaInasikitisha sana,hata sijui angekuwa dada yangu au ndg yangu wa karibu ningehisije? Lakini nisingemuacha hai Omary Saloti!!! si ndio law of the Jungle,mambo mengine tuombe tu yasitutokee.
nikiwa field yangu august 2015 mzee mmoja alinisimulia hii hadithi ya LEVINA (RIP)na habari za mzee PUNCH..zinasisimua...mzee yule alisimulia jinsi Punch walivyosababisha wanafunzi wa UDSM wakafukuzwa chuo mwaka mzima kisa punch kumdhalilisha Rais Mwinyi..
kati ya hao walifukuzwa kisa mzee mwinyi babu yangu wa mwisho upande wa baba nae alikuwapo...............
Ha ha ha!nikiwa field yangu august 2015 mzee mmoja alinisimulia hii hadithi ya LEVINA (RIP)na habari za mzee PUNCH..zinasisimua...mzee yule alisimulia jinsi Punch walivyosababisha wanafunzi wa UDSM wakafukuzwa chuo mwaka mzima kisa punch kumdhalilisha Rais Mwinyi..
Duh sasa ilikuaje ndio chuo kiliishia hapo
Ha ha ha!
Mnazungumzia Mzee Punch wakati wa Rais Mwinyi?
Wengine tulikuwepo wakati wa Mwalimu!!