Hahaaa nimecheka sana, ulitaka kumla dada yangu kimasihara hivyo! hawapogo hivyo tunda linatunzwa mpaka wakati ulioamuriwa hata kama ungetumia mbinu kama za PUNCH angewapa taarifa kaka zake taarifa basi ingekuwa balaa kweli kweli ungeacha vitendea kazi vya Umma.Kuna kabinti fulani ka Njau kalikuwa kanasoma Kiraeni, nilikapendaga na ilikuwa nioe KV, tatizo likawa vitoto vya KV vimefunzwa mambo fulani ni mpaka baada ya ndoa, sisi watu wa mjini, unataka kufanya kwanza test drive ndipo, ulipende gari ndipo ulinunue, wenyewe wanataka ulitazame tuu ulinunue kwanza ndipo uliendesha, hakuna test drive, hiyo tukashindwana.
Kiukweli mabinti wa KV wa enzi hizo, ilikuwa ni bila bila mpaka kieleweka, hakuna test drive!.
P
Kweli Wachagga wagumu.Hahaaa nimecheka sana, ulitaka kumla dada yangu kimasihara hivyo! hawapogo hivyo tunda linatunzwa mpaka wakati ulioamuriwa hata kama ungetumia mbinu kama za PUNCH angewapa taarifa kaka zake taarifa basi ingekuwa balaa kweli kweli ungeacha vitendea kazi vya Umma.
Pumbavu sana, nadhai familia inapaswa kupewa msaaa wa kisheria hapa. Wote walioshiriki kuweza kuchukuliwa hatua, kwani "Jinai" huwa hai-expire. Lakini zaidi ya hapo, most guys hapo UDSM never been gentlemen...Kuna mmoja anadai alishuhudia Binti akimeza vidonge vile na hakuchukua hatua kisa yupo na ka-malaya kake kutoka mtaani. Elimu yako haikuwa na msaada, your manhood never exercised to save life...Pumbavu sana. I am always against injsutice at whatever cost.Hao Saloti na Victor sijui wanajisikiaje sasa!!?? Hivi familia haiwezi kufungua kesi ya madai Chuo Kikuu au against these people??
Wewe unamuaminije huyo bwana? Mimi nilikuwa namfahamu marehemu personally hakuwa mtu wa tabia hizo!!! Huyo ni muongoNimesoma uzi wote kwa masikitiko but niliposoma comment kua levina alichanganya wakaka wawili ata once na masikitiko yangu yakaishia hapo
Hawa wahusika wakufanya haya huwa wapo kila kona kwenye mashule makubwa tanzania na ndio wanaokuja kua hatari sana baadae wanapokuja kukutana vyuo vikuu,nakumbuka matukio mengi sana yakutisha ambayo niliyapitia pale GALANOS enzi za kinala,wanafunzi waliokua wanasoma pale wengi walitokea mikoa ya bara sio pwani na kama ukimkuta mtoto wa pwani anasoma hapo muangalie mara mbili lazima atakua nae anapiga bangee tena yuko vizuri sana nakumbuka tumesoma na watoto wa jaji mkwawa akina joseph dah jamaa nae alikua amepindaga sana,alikua anaonhoza kwakuongoza migomo kama hana akili alafu hakuna yeyote anaeweza kumfanya kitu,siku moja mwalimu alimchapa mwanafunz ambae alikua ana kibali chakutokuadhibiwa,alivyomchapa yule mwanafunzi akaanguka chini kumbe na kifafa mwalimu alivyokua mjinga anamwambia joseph mkwawa muamshe mwenzako,joseph akamwambia"wewe mjinga kweli wewe uliyempiga ndio umuamshe"ticha akaamuru wanafunzi wengine wamuamshe yule jamaa pale chini hapo ndipo moto ulipowaka,yule mwalimu alichezeshewa kichapo chakufa mtu wanafunzi wakaenda nyumbani kwa mwalimu wakakuta amepika wali wakaumwaga wakavunja samani za ndani wakambaka binti amabae alikua mdogo ake na yule mwalimu na hapo ndipo vurugu zilipoanza ilikua jioni muda wa parade au rolcal,walimu walichezea kichapo chakufa mtu na shule iliharibiwa vibaya mno gari za police zilivunjwa vioo nakutobolewa matairi hakuna cha field force wala nini,kikosi cha wana GALAXY kilikua na nguvu sana yani kilikua ni cha ajabu mno,kwakweli tunatoka mbali sana na haya majitu mengi yao yamefanikiwa kimaisha yani yapo kwenye system,wengine ni maafisa usalama wa taifa ba wengine wapo kwenye sekta mbali mbali na kaa ukijua hizi shule kubwa tanzania sio wote wanakua ni wanafunzi wengine ni watumishi wamekuja kikazi pale.Heeee haya yalitokea hapahapa tanzania mkuu?
Dizaini zamani wanafunzi wa kiume walikua wanaume hasa sio vishalobalo vya siku hizi hata ngumi havijui kuikunja
Ukishatumia BANGE inakua ngumu sana kuacha,ila kila mtu ana matumiz yake kulingana na aina ya ubongo na uwezo wake waku handle,kuna mchiz wangu alikua hawezi kufanya pepa bila ya bange,jamaa alikua tishio kwenye hesabu na o level alipiga one akachukua pcm akapangwa ifunda tech huko ndio akawa kichaa,sasaivi yupo kwenye systm za serikali ameajiriwa na ana maisha safi tu ila bange kama kawaida.
Umenikumbusha mbali sana Mkuu.
Huyu dada moja ya sababu iliyofanya ajiuwe inasemekana ni kukosa uvumilivu kulikochangiwa na kutokwenda JKT.
Wengi wanasema kama angelikwenda JKT, basi matusi ya PUNCH yasingelimtisha kabisa maana JKT, wale ma-Coplo Magwegwa, Gumo, Wawa, Wera, Manyilizu, Mandevu, Chacha, Matron Makunyanzi nk kwa kweli walikuwa wanajua kutukana na kunyanyasa.
Kuna Madada wawili sikumbuki walisoma miaka gani, ambao nasikia Mzee Punch alishindwa kabisa kuwanyoosha. Walikuwa wakiwahi kula kama Wanaume na kuvaa suruali, tabia ambayo Punch hawakuipenda. Basi wakaanza kuwashughulikia. Na wao wakaanza ukorofi wa kwenda mapema Cafeteria kuangalia wamechorwa na nguo gani, basi wanarudi chumbani na kuvaa kama walivyochorwa ili kila mtu awafahamu.
Walisumbuana na Punch hadi mwisho jamaa hawa wakakosa nguvu na kuwaacha. Walipowaacha na wao kweli ndipo wakatulia kabisa na kuacha ukorofi wao. Ila hii kama sikosei inaweza kuwa ilitokea miaka ya 70 kwa sababu zote ni story ambazo mie nilisikia na kwa bahati mbaya, sikusoma UDSM.
Halafu kweli dunia imebadilika Bandugu. Siku hizi wanafunzi wanajibandika wenyewe picha za uchi wa Mnyama na siyo za kuchorwa tena. Wengine walienda kabisa na kuanza kujieleza "nimebakwa Meen" na bila wasiwasi wowote huku TV Camera na Radio zinawarekodi. Mzee Puch angelikuwepo basi watu wangelilipa ili wawekwe pale na wajiongezee umaarufu.
Kufa kwa Punch ilikuwa ni lazima hata kama Levina asingelijiuwa. RIP LEVINA.
Siyo kweli mzee, mbona mimi nilitumia sana lakini baadaye nikaacha.Ukishatumia BANGE inakua ngumu sana kuacha,ila kila mtu ana matumiz yake kulingana na aina ya ubongo na uwezo wake waku handle,kuna mchiz wangu alikua hawezi kufanya pepa bila ya bange,jamaa alikua tishio kwenye hesabu na o level alipiga one akachukua pcm akapangwa ifunda tech huko ndio akawa kichaa,sasaivi yupo kwenye systm za serikali ameajiriwa na ana maisha safi tu ila bange kama kawaida.