Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

Kwanini Kuongozana na Mkeo iwe noma!?

aah sasa mbona unataka kuniacha peke yangu si unajua wewe ndio mwenyeji wangu tena . Usiniache mwenzio nikaliingia chaka ila ushari wa mwanzo unazingatiwa maana unaofuata mara nyingi huwa umechakachuliwa kama tunavyochakachua siredi ya watu.

kweli kabisa....! Achana na hao matapeli kuna walio ibiwa ujue kwenye ukaguzi! Mimi walitaka kuniingiza mkenge lakini nimesha waambia hawanipati ng'o!
ha haaaa.....
mimi sikupata kabisa huo usumbufu wa sijui kukaguliwa wala nini...
mwenzenu nilikuwa clever..... niliingia hapa na jina gumuuuuuuu Fixed Point... na avatar ilikuwa
images

hapo unafikiri kuna aliyethubutu kuniulizia ukaguzi?
wamekuja kushtuka tayari nimeshakuwa alwatan..... wataanzia wapi?
cc Asprin, Kaizer.....
sasa nyie mmeingia na majina mazuri na avatar za kuita kwa nini msilazimishwe ukaguzi?
 
Hahahahahahaah Kweli hiyo avator ilikua kiboko. Haya jamani kuhusu kuongozana na mr/mke inakuaje watu wengine hawapendi jamani
 
hahahahahahaaa!!!!!!!!! hapo lazima wachuchumae huku wakiwa wameshika mashavu....! Hapana sogelea kabisa!!!!!!!!!!!!!
 
hiyo nayo sijui niiitaje.....
ila kuna zile party za makampuni sijui za kufungia/kuukaribisha mwaka. kuna baadhi ya makampuni wanasema ni za wafanyakazi tu, no spouses, zinaniudhi sana. sijui wanafanyaga nini huko kwenye party....
mimi yameshawahi nikuta mara kadhaa haya mambo, na kiukweli huwa sipendi, basi tu sina cha kufanya.
Apart from hizo parties, kila mtoko tunakuwa pamoja.
kwa nini uone noma kufwatana na mwenzi wako? ulichaguliwa?
 
hahahaaa! Uchakachuzi umekushinda?

Kuhusu kuongozana, wanaume huwa wanaona aibu kwasababu keshagundua mke wake hana mvuto tena........ Lol!!!!!!!
 
umeona eeeh!
weka mbali na watoto......
sura ngumuuuuuu, jina gumuuuuu, unaanzia wapi?
 
kweli kabisa, kwa nini usingeniambia kabla sijajiunga banaa...... Agggggrrrrrrrrriiiiiii......... Nisingepata usumbufu mie
 
hiyo nayo sijui niiitaje.....
ila kuna zile party za makampuni sijui za kufungia/kuukaribisha mwaka. kuna baadhi ya makampuni wanasema ni za wafanyakazi tu, no spouses, zinaniudhi sana. sijui wanafanyaga nini huko kwenye party....
mimi yameshawahi nikuta mara kadhaa haya mambo, na kiukweli huwa sipendi, basi tu sina cha kufanya.
Apart from hizo parties, kila mtoko tunakuwa pamoja.
kwa nini uone noma kufwatana na mwenzi wako? ulichaguliwa?
Kweli kabisa dear si unajua kuna familia kufuatana ni mwiko wanakosaje raha jamani lol. Haifai kuona aibu na hii wanayo sana wababa kwa kisingizio eti wamama wanachelewa kujiandaa . Kuna familia moja nimeiona hapa nilipo bwana walianza vizuri mara honey , darling na mengine mengi yaani ilikua ukiwaona utawapenda mno, kiasi kwamba walikua wanapendeza. Baada ya muda kidogo kupita watu wale hata mawasiliano wanapokua mbali mbali hawana . Yaani huwa hawapendi kabisa kuongozana . Hata hivyo wapo wengi wenye tabia hizi sijui hujiona kua walikosea kwenye selection, maana unashindwa kuelewa eti.
 
hahahaaa! Uchakachuzi umekushinda?

Kuhusu kuongozana, wanaume huwa wanaona aibu kwasababu keshagundua mke wake hana mvuto tena........ Lol!!!!!!!
hahahahaha yaani mara hana mvuto. Hawa viumbe hawa Mungu awasaidie tu
 
Katika maswala yetu ya umoja wa kusaidiana na kufarijiana katika kikundi chetu likaletwa wazo la kila mtu aje na mke wake siku ya sherehe ya kikundi chetu... lakini miongoni mwa wadau tulionao katika kikundi wamepinga vikali na kudai kwamba hakuna haja ya mtu kuja na mkewe hapa.. mmoja akadai yeye ndani ya miaka mitano hajawahi kuongozana na mkewe kwenda maeneo yoyote yale... jamani kwa nini iwe noma kuongozana na mkeo kwenye shughuli mbalimbali kama harusini, msibani hata kwenye nyumba za ibada...........

........Asilimia kubwa ya ndoa zilifanyika pasipo uangalifu...mapenzi ya kuiga au kudanganyana... kuna mambo yanayojitokeza katika hili...umri unachangia sana maana wanawake wanazeeka haraka kuliko wanaume.... binafsi ninaamini kwamba mume amzidi mke miaka kuanzia 7...ukiacha boy friend na girl friend ambao wanaweza kutojali umri lakini sio mnapoamua kuoana maana hapo mnatangaza kwamba hamtaachana mpaka.... jambo lingine maumbile maana wewe kama ni mfupi sana unaona aibu kuongozana na mke ambaye amekuzidi hata urefu.. unene pia unachangia...jamaa mkewe amenenepa kuliko maelezo halafu ni mfupi kuzidi....hata kutembea kunampa taabu.... hali halisi ya kujiweka smart kwa wote nayo inachangia unaweza kukuta jamaa amefuga midevu zaidi ya Osama wanawake wanaona noma kutoa utambulisho juu ya mahusiano yenu na hata kuongozana..
 
  • Thanks
Reactions: ram
ha haaaa.....
mimi sikupata kabisa huo usumbufu wa sijui kukaguliwa wala nini...
mwenzenu nilikuwa clever..... niliingia hapa na jina gumuuuuuuu Fixed Point... na avatar ilikuwa
images

hapo unafikiri kuna aliyethubutu kuniulizia ukaguzi?
wamekuja kushtuka tayari nimeshakuwa alwatan..... wataanzia wapi?
cc Asprin, Kaizer.....
sasa nyie mmeingia na majina mazuri na avatar za kuita kwa nini msilazimishwe ukaguzi?

I love mathematics.....
 
Moja ya couple ninayoifahamu ni ndugu na huyo Moi lol! nadhani tangu siku ya harusi yao sijawahi ona wameongozana popote

Kama Mzee Arap Moi yeye alikuwa haambatani na mke bana
 
Back
Top Bottom