Kwanini kunguru akifa hatoki funza?

Mkuu Sio kweli, Uwezo wa kutua katika nyaya za Umeme wenye Power sio kwamba ndio ability hata ww unaweza kuninginginia hizo nyanya za umeme tena high voltage bila kudhurika ni namna tu ya kujua kanuni za umeme
Kwahiyo mkuu ndo kusema kuwa Mr Kunguru ni mbobezi kwenye masuala ya umeme ndio maana hapigwi shoti.?
 
kipindi cha nuhu alitumwa atoke nje ya safina akaangalie hali ipoje akatokomea kwa kunogewa na mizoga akalaaniwa vivyo hivyo firauni nayy mzoga wake ulilaaniwa hata wadudu wasiusogelee kama ilivyo kwa kunguru na hadi leo mzoga wake upo kamili gado....naweza kusahihishwa
laana ni jambo baya...mzoga usipooza jambo hili linawezaje kuitwa laana??
 
Kiumbe yoyote akifa anaoza then funza wanamshambulia lakini kwa kunguru ni tofauti nimeshuhudia kunguru mfu wengi lakini sijaona funza, huyu kunguru ana nini?!
Simple....ni kwasababu kunguru afugiki
 
Hili nimeshudia sana kwenye plant moja ya umeme,sema ile miguu yake ina magamba magumu ambayo huact kama insulator hivyo umeme hushindwa kupenya.Pia akifa wadudu humshambulia(funza weupe) isipokua inzi ndo hawamsogelei.
Hivi, neno sahihi ni lipi kati ya haya ;


Inzi
Nyinzi
Nzi

Kipi sahihi.?!
 
Mkuu chaUkucha

Sio kweli Kunguru hapigwi shoti ya umeme coz ya sumu iliyopo ndani ya damu yake,

Unajua hakuna shoti kama hakuna "potential difference" katika terminals za kifaa chochote kile,

Kunguru anapokanyaga waya mmoja kunakua hakuna "Partial discharde ( p.d ) lakini kama akitanua miguu yake na kukanyaga waya mbili atapigwa na shoti na kugeuka majivu in a seconds!

Chukulia mfano wa binaadamu,yeye anatengeneza partial discharge (p.d) kati ya waya na "earth"
Yani binaadamu anapokuwa kasimama ardhini, lakini kama akining'inia kwenye waya kwa mkono mmoja au hata kwa mikono yake yote miwili ikiwa karibukaribu hakuna madhara mradi hagusi chochote kinachogusana na ardhi. Lakini kama akitanua mikono yake itakua anatengeneza partial discharge na lazima apigwe na shoti,

Kitu kingine,Kunguru miguu yake ina magamba ambayo ni "Insulation" hii humsaidia asipigwe na shoti hata akigusa miguu yote hatapata shoti,ila hiyo insulation yake ni kwa umeme mdogo tu kama vile 1V to 450V kwa umeme mkubwa hiyo insulation yake miguuni haitomsaidia kitu.
clever

big up nmekupata
 
Ivi sumu aliyonayo ndo inasababisha asinaswe na umeme? Maana namuonaga kwenye nyaya za umeme akiwa anatabasamu!

Hahaha asikudanganye mtu kijana.. Nilikuwa maeneo ya Mwananyamala Hospitali kunguru alitandikwa shoti wanaume wa dar acha watoke nduki. Ishu ni kwamba akikanyaga waya mmoja hakuna shida... Yule alifanikiwa kuzigusa mbili.
 
Back
Top Bottom