Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,441
- 4,093
Wanaume wa hovyo hovyo huwa wanadate na kuzaa na wanawake wa hovyo hovyo,ndege wanaofanana huruka pamojaSababu kubwa ni ongezeko la wanaume suruali, hovyo hovyo wasio jitambua.
Wanaume wa hovyo hovyo huwa wanadate na kuzaa na wanawake wa hovyo hovyo,ndege wanaofanana huruka pamojaSababu kubwa ni ongezeko la wanaume suruali, hovyo hovyo wasio jitambua.
KweliWanaume wa hovyo hovyo huwa wanadate na kuzaa na wanawake wa hovyo hovyo,ndege wanaofanana huruka pamoja
Nimemjibu una swali lingineAkikujibu unitag
Una umri gani mkuu kama hautojali?Tatizo wanapenda Sana pesa,dawa yao Ni kuwatia mimba tu then wakafie mbele,Mimi nishatia mimba watatu
Sorry, Una elimu gani?Kwangu mwanaume mpeleka mzinzi nyumbani hajielewi na heshimu sehemu yake ya kuishi ndo mana akioa mke anamuletea mchepuko ndani maana Baba mwenye nyumba alishaanzisha Hilo. Mwanaume anayejiheshimu atapeleka mke nyumbani akioa sio kuzini nyumba anayo ishi. Hata niwe malaya namna gani siwezi let'a mwanaume nizini kwenye kitanda ninacholalilia zinaa na uzinzi ni uchafu mkubwa.
So mimi kupelekwa geto ni minor issue, Kuna mwanaume anapeleka wanawake nyumba yake wa tofauti na hana mbele wala nyuma na mahusiano yamemshinda. Hyo zote ni nuksi na majanaba ya uzinzi.
Mie nilifundwa kujipeleka geto kwa mwanaume ni laana na kutokujiheshimu, hafu wanaume nao wapata huwa waelewa wenyewe na mke hapimwi kwa Kuja geto kukupikia na kuzini naye kitandani
NdioMkuu samahani uliwahi kufundisha nyegina ,huko musoma vijijini
wa nyumbani, Nani kakufananisha na Mbwa?Akaaa.. kunifananisha na mbwa kanigusa kwa kweli. Yani kama kajua kugusa hisia zangu ni leo. Kati ya vitu vinaniumiza ni dharau. Hata matusi naweza kuyahandle ila dharau zinanizidi nguvu.
Mimi naona kuna ongezeko kubwa la wanaume wasiotambua majukuku yao katika familia..
We mwenyewe ulizaliwa kwa single mother, tupishe sieeeBado hatujaanza Madame, hii ni DibaJi tu
Hili ndilo jibu sahihi .....Kwasababu Wanaume wa hovyohovyo wameongezeka
Whatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaumeUnapo sema wanawake hawajatulia wana fanya ngono na mti au mbona mna kimbia kivuli chenu ukweli ni kwamba nyinyi ndio hamjatulia zaidi.
Mkuu je kabla ya hizo ngono zembe nani anakuwa anashawishiwa hadi anakubali kuvua ch*p?? Narudia tena mwanamke ndio mwenye maamuzi ya mwisho kwenye swala la kupata mimba na huu ndio ukwelNgono zembe wanafanya na nani?
We mwenyewe ulizaliwa kwa single mother, tupishe sieee