Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kwangu mwanaume mpeleka mzinzi nyumbani hajielewi na heshimu sehemu yake ya kuishi ndo mana akioa mke anamuletea mchepuko ndani maana Baba mwenye nyumba alishaanzisha Hilo. Mwanaume anayejiheshimu atapeleka mke nyumbani akioa sio kuzini nyumba anayo ishi. Hata niwe malaya namna gani siwezi let'a mwanaume nizini kwenye kitanda ninacholalilia zinaa na uzinzi ni uchafu mkubwa.

So mimi kupelekwa geto ni minor issue, Kuna mwanaume anapeleka wanawake nyumba yake wa tofauti na hana mbele wala nyuma na mahusiano yamemshinda. Hyo zote ni nuksi na majanaba ya uzinzi.

Mie nilifundwa kujipeleka geto kwa mwanaume ni laana na kutokujiheshimu, hafu wanaume nao wapata huwa waelewa wenyewe na mke hapimwi kwa Kuja geto kukupikia na kuzini naye kitandani
Sorry, Una elimu gani?
 
Mimi naona kuna ongezeko kubwa la wanaume wasiotambua majukuku yao katika familia..
 
Akaaa.. kunifananisha na mbwa kanigusa kwa kweli. Yani kama kajua kugusa hisia zangu ni leo. Kati ya vitu vinaniumiza ni dharau. Hata matusi naweza kuyahandle ila dharau zinanizidi nguvu.
wa nyumbani, Nani kakufananisha na Mbwa?
 
Baadhi ya wanawake bado wanaamini kushika mimba kutamfanya mwanaune ajicomit kumuoa ama kupata mahitaji na attention ya mwanaume. So wengi hubeba mimba kusudi na ndio Hao huishia single mothers.
 
Unapo sema wanawake hawajatulia wana fanya ngono na mti au mbona mna kimbia kivuli chenu ukweli ni kwamba nyinyi ndio hamjatulia zaidi.
Whatever either wanafanya na miti, toys ila ukwel utabaki kuwa hvyo, Je ww kama mwanamke unashindwaje kukataa kushiriki ngono bila kinga au kutumia contraceptives wakati unajua kuna kupata mimba? Hata kama ulilazimishwa kufanya( rape) unashindwa kwenda kuriport kweny vyombo husika?? Mambo mengine mnajitakia wenyewe tu mwisho wa siku lawama zinakuja kwetu sisi wanaume
 
Kiukweli sikuizi Wanaume tunapata kila kitu bila ya kuingia kwenye Ndoa hasa Ndoa ya nini Mazee walikuepo wanataka kutoka stress tu.
 
Hii itakuwa thread yangu ya mwisho kuisoma kwa leo. Tutaona siku nyingine.

Muda wa ciesta unakaribia ili tuwahi kuamka.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom