Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kama hajali mwanawe he is automatically dead and useless father a. K.a sperms donor
Tatizo huwa hamuwezi kokontrol hisia zenu mnaanza kuwalisha maneno watoto ohh Babako mjinga nateseka sana kukulea,sijui mlevi,mhuni blablah nyingi wakati ulimpanulia afu unamconsider dead,mconsider dead lakini usimlushe maneno mtoto.
 
Hyo issue ya mimba kulazimisha ndoa ni ujinga kwanini utegeshe na msiambiane Kuwa sasa hatuzai acha tuzini tu maisha yaendelee.

Unajua huna future na mtu kwanini mfanye kavu. Mimi nimekutana na wanaume wananililia naomba unizLie kimoyoni nikawa nawa ng'o ng'a kumbe wanataka kunikomoa tu Ili wasepe. Wengine niliwadaganya na mimba ghafla mapenzi yakawa shubiri ndo nikawafungukia walifikiri wangenipata. Nyie ni tatizo pia wanawake wanafikiri kumzalia mwanaume ndo watapendwa hapo ni wrong kabisa.

Na hyo kutumia mtoto ka fimbo ni ujinga ulioopitiliza Ili kutesana all in all kuzaa Bila Kuja kulea pamoja ni kutesa watoto maana mwanaume utaoa usitegemee utaweza wapenda wa nje ka wa ndoani.
Sasa 99% ya single mothers wanaangukia hapa halafu mwisho lawama kwa mwanaume
 
Mkuu samahani uliwahi kufundisha nyegina ,huko musoma vijijini
My friend you had spoken truly for some extent, surely there are various reasons for this matter. Just think on their behaviors, nowadays it like a fashion for most them to have abusive words even before marriage, for this what do you expect?, I have number of examples on this. Also remember that a good wife/spouse is the one who is humble,just,listen to her partner and can integrate with both sides of the couples, are they have this feature? for sure this may be another problem that can facilitate the former. To cure or reduce this I advice them to learn and change. And for men we need also to change because kids are just gift from God, we need to love them regardless of our differences in our relationships or marriage.
 
Wapo tu wanaojielewa kuanzia kiuchumi na wanaishi kwa amani sana tu. Mwanangu akioa Nampa support zote as long as mwanamke anajielewa na tabia njema no problem. Kuzaa sio dhambi useme eti wakose upendo
Mwanaume anayejielewa hawezi kuoa single mother,hata wewe mtoto wako akioa single mother ameshazalishwa watoto wawili lazima utakuwa disappointed
 
Hahaaaaa na mimi siendi geto la mwanaume maana ajiheshimu nyumba anageuza danguro hapo tu namu disqualify mana hajiheshimu. Kama hana hela atukize nyege zake aache wanaume wanajua kupeleka ma hotel makubwa kula bata. Mi hushangaa mwanamke anamfulia mhuni mwenzake anaenda had geto halooo
Hutaki kwenda wenzio wanaenda na wanapenda kama nini..? Hizo cost za kijinga nani aingie ndiyo hapo, tunapomalizia kwa kuwatia mimba mkatumie pesa mlizochuma kwetu muda wa kudanga mkalee mtoto.
 
Wapo tu wanaojielewa kuanzia kiuchumi na wanaishi kwa amani sana tu. Mwanangu akioa Nampa support zote as long as mwanamke anajielewa na tabia njema no problem. Kuzaa sio dhambi useme eti wakose upendo
Tangu lini single mother anajielewa na uzuri umeshatoa sababu za mwanamke kuwa single mother
 
Hahaaaaa mimi namwambia mwanangu yote babako amekukimbia anakula raha huko hatoi matumizi so my dear son/daughter consider ur self you don't have a father. Na wewe ukikua uwe mwema kwa wote. Mie nikumpa tu ukweli wote Bila kuficha siku awe maarufu ndo huwa mnajitokeza mnakufa ka Baba diamond
Tatizo huwa hamuwezi kokontrol hisia zenu mnaanza kuwalisha maneno watoto ohh Babako mjinga nateseka sana kukulea,sijui mlevi,mhuni blablah nyingi wakati ulimpanulia afu unamconsider dead,mconsider dead lakini usimlushe maneno mtoto.
 
Hahaaaaa hao wanaoenda ni cheap hawajielewi mimi siendi geto bora gesti ya buku tano. Mapenzi pia ni cost sasa unakwepa hzo gharama family utaweza, wanaume wenye nazo na kujiheshimu ni mwendo wa kwenda nje ya mji kwenye hotel zinazoeleweka za kitalii mnajipumzikia kwa raha.

Hao wanao Beba mimba ni ujinga wao tu. Mimi nitabeba nikiamua na sio mwanaume eti ananikomoa
Hutaki kwenda wenzio wanaenda na wanapenda kama nini..? Hizo cost za kijinga nani aingie ndiyo hapo, tunapomalizia kwa kuwatia mimba mkatumie pesa mlizochuma kwetu muda wa kudanga mkalee mtoto.
 
Me nafikiri inategemeana na aina ya tabia ya msichana/mwanamke mwenyewe hasa katika kile kipindi cha uchumba/uhusiano..
Kama msichana/mwanamke huyo atakua mwaminifu na kutulia kwa mwanaume mmoja aliemchagua na kumuamini katika kipindi cha uchumba, na kumpenda kwa dhati sidhani kama suala hili lingekua kubwa kwa kiasi cha kukushangaza mtoa mada.
Kwahiyo, Mimi nadhani kutokana na wanaume wengi kutokua na uhakika wa uwezekano wa kuwapata wanawake wanaowapenda(kutokana na ushindani mkubwa), huamua kutafuta njia mbadala ya kuwapata ikiwa ni pamoja na kuwapa ujauzito na kisha baadhi yao kushindwa kumudu mahitaji ya familia mpya na kuwaacha pekeao na watoto.
 
Hahaaaaa hao wanaoenda ni cheap hawajielewi mimi siendi geto bora gesti ya buku tano. Mapenzi pia ni cost sasa unakwepa hzo gharama family utaweza, wanaume wenye nazo na kujiheshimu ni mwendo wa kwenda nje ya mji kwenye hotel zinazoeleweka za kitalii mnajipumzikia kwa raha.

Hao wanao Beba mimba ni ujinga wao tu. Mimi nitabeba nikiamua na sio mwanaume eti ananikomoa
Eti mapenzi ni cost kwa hao wanaume bwege, yaani niende guest house yenye kunguni mwisho niwahamishie kwa gheto langu, kisa elfu 5, wapo waelewa na wanaojua kujiheshim akija kwangu shobo zake kule analiwa anaondoka alichokiona kinakuwa siri yake.

Na ukiona mdada wa hivyo siyo mkurupukaji ujue mke huyo, siyo wengine mkija gheto mnapazoea na hamkati kiguu pale, ukiona hivyo ujue kinachofuata ni hatua za kukublock usifike pale. Acha ukaribishwe usiwe kiherehere kitakuponza. Kwanza zipo sampli za wanawake usidhani kila mdada unahadhi ya kuingia ghetoni mwangu.

Kuna wanawake huwa tunawachukulia wakawaida tunaishi na nyie kwa siri. Na kwa taarifa yako ukiona huaminiwi kupelekwa gheto ujue wewe ni mrupo tu.
 
Kwangu mwanaume mpeleka mzinzi nyumbani hajielewi na heshimu sehemu yake ya kuishi ndo mana akioa mke anamuletea mchepuko ndani maana Baba mwenye nyumba alishaanzisha Hilo. Mwanaume anayejiheshimu atapeleka mke nyumbani akioa sio kuzini nyumba anayo ishi. Hata niwe malaya namna gani siwezi let'a mwanaume nizini kwenye kitanda ninacholalilia zinaa na uzinzi ni uchafu mkubwa.

So mimi kupelekwa geto ni minor issue, Kuna mwanaume anapeleka wanawake nyumba yake wa tofauti na hana mbele wala nyuma na mahusiano yamemshinda. Hyo zote ni nuksi na majanaba ya uzinzi.

Mie nilifundwa kujipeleka geto kwa mwanaume ni laana na kutokujiheshimu, hafu wanaume nao wapata huwa waelewa wenyewe na mke hapimwi kwa Kuja geto kukupikia na kuzini naye kitandani
 
Back
Top Bottom