Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Nyie ndio mnafanyaga wanaume wote tuonekane wapuuzi na tusio na maana kabisa hvi kweli kuwatia mimba wanawake hovyo ni jambo la kujivunia ??Tuheshimuni wanawake jamani
Yep,ukimtia mimba unampa heshima ya kuitwa mama
 
Mimi nawapenda sana wanawake sna tu kwanza ni mama zetu pili ni Dada zetu binafsi nimezaliwa katika familia ambayo wa kiume ni Mimi pekee na kati ya Dada zangu wawili wamezalishwa na wanaume wapuuzi wasiojielewa na sasa jamii inawaita single mother I feel the empathy kwa ajili yao na kila mwanamke outhere sijaona walipokosea kabisa kosa dogo tu walilofanya labda ni kuwaamini wanaume wale wapuuzi wasiojua majukumu yao Kwangu mwanamke anastahili heshima sana wapo wanaotukana na kuwadharau wanawake huo ni ukosefu wa akili na maadili
Mimi katika maisha yangu nimechagua kumlinda,kumthamini, kumheshimu mwanamke na siwezi dharau wanayopitia nawapenda sna Wanawake kwa kila jambo niko pamoja nao na sitawajudge kwa minor mistakes
Mkuu jiulize pia kwa nini dada zako wazae na wanaume wapuuzi??? Kwanini wasizae na wanaume wanaojielewa?
 
Hakika,kila mtu hukosea katika eneo Fulani la maisha na kila mtu anastahili nafasi ya pili,cha msingi warudi katika misingi ili wasirudie kosa hilo tena!
Ni lazima wawe katika mahusiano yanayoeleweka,mwanaume awe tayari kuwa baba ndipo mimba itungwe!

Japokuwa kila mtu ana sehemu ya kufanya lakini Mwanamke anapaswa kuwa na maamuzi zaidi juu ya kubeba au kutokubeba mimba,Mimba haitakiwi iwe tokeo la ajali!! Siyo kila tendo la ngono linatakiwa lisababishe mimba! Kwenye mzunguko wa mwezi mzima wa hedhi Siku za kubeba mimba hazizidi saba,zingine zote ni siku tatu hadi tano za hedhi zingine zote BATA! Simple Math,Kubeba Mimba ni Kuchagua unless mtu amebakwa!
Ndo maana mimi nikasema mwanamke mwenye haki ya kutoa lawama kwa mwanaume Ni yule tu aliyebakwa, mwanamke yeye ndo mwamuzi wa kupata/ kutopata mimba
 
Hamuwaoi mnawapekenyua tu alafu mna sepa na mwanamke akisha fika 28 hajaolewa wengine hata 25 anaona Bora atafute hata mpita njia wazae! Sisi ma ustadhi tunajitahidi Sana kuwaoa 4 wanne ili walau tunusuru hiki kizazi nasi tunaelemewa màana wengi hawapendi kuolewa uke wenza wanapenda kupigwa take away ndio imesababisha watoto wengi wa wapita njia,watoto wa Mama
 
Ndo maana mimi nikasema mwanamke mwenye haki ya kutoa lawama kwa mwanaume Ni yule tu aliyebakwa, mwanamke yeye ndo mwamuzi wa kupata/ kutopata mimba
Unaweza ukawa sahihi kwa upande fulani ila kwangu kuwadhihaki naona haijakaa sawa kabisa
 
Na bado wataongezeka mno.

Sipendi waongezeke ila speed ni kali sana.
 
Unaweza ukawa sahihi kwa upande fulani ila kwangu kuwadhihaki naona haijakaa sawa kabisa
Mkuu hizi lawama sisi wanaume ndo inapaswa tuwalaumu wao,Tena wengine wanatutegeshea,Ni makosa yao sio sisi, mwanamke pekee mwenye kulalamika Ni yule aliyebakwa tu
 
Maneno kama haya ndio yanazidi kutuongezea single mothers badala ya kupiga vita una encourage
Why stay in a relationship that is doomed and detrimental to you and your kids?

I always advocate for marriage. But that too has its limits.
 
Not all Baby mamas got drama,some got diplomas, degrees& jobs, they go to work , independent & raise their kids silently
 
Uyo queen na crow ipi? Au ni figure of speech mnajiliwaza i hate to say this goddamnit Men are dogs women are stupid.
Cowardly men who only seek to test whether they are impotent or not. Once they know they can make a woman pregnant basi they go on a baby making spree. Not once providing for any of their kids.


And the women are too strong to just take the beating lying down. Therefore, there is an increase of single mothers but they won't say there is a rise of successful women too, and they happen to be single.

The kids you abandoned happened to be the source of strength for them. The wind that helped them soar in the sky despite the rough winds.

Stay strong single ladies. You are queens, never let your crowns tip over. Adjust them and never lose focus.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom