Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
5,556
Likes
8,129
Points
280
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2015
5,556 8,129 280
Kweli kabisa mkuu wanaume wengi hutuniwa na ibilisi kuharibu future za wanawake wengi. Mwisho wa siku wanawake wanabaki na makovu mioyoni
Hao ni wale wasiojitambua. Jambo la muhimu ni kuwa makini na mwanaume unayelala nae kabla ya kuanza kushughulika na aftermath.
 
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2014
Messages
2,254
Likes
4,312
Points
280
joseph1989

joseph1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2014
2,254 4,312 280
Ungeanza kuwashauri kwanza wanaume baadhi yao watulize miti yao kwenye suluali zao wanajijua wapo kwenye Ndoa mshepuko wa nini mnatupa tabu mtaani kwa mikojo yenu chokolaa kibao.
Kwani ww huwezi kuchukua hatua hiyo ya kumkatalia? Kwa hiyo kila mume wa mtu anaye kutongoza una mkubali na kumtanulia miguu? Alafu baadaye unapewa mimba unasema hakujali, lkn what if kama wewe ungeharibu ndoa ya huyo mwanaume, huoni utakuwa umathiri malezi ya watoto wake, alafu kesho una lalamika hakujali ww na mtoto, wako wakati ww mwenyewe ulitaka kufanya hicho hicho cha kumtenganisha na watoto wake na kumfanya mke wake nae angukie katika kundi hili la single mother.

Hivyo vichwa vyenu vitumieni vizuri, heshimuni ndoa na familia za wanawake wenzenu, sio mnapewa mimba mnaanza kulialia.
 
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
10,902
Likes
13,554
Points
280
Age
47
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
10,902 13,554 280
Nimemuacha. Wala simjibu tena. Kama kaniita mbwa hakawii kunishushia mitusi. Mimi kunguru mwoga acha niepushe shari bwana.
Mama wa watoto. Pole sana kwa msaibu yote. Ombi langu ni moja tu.
msamehe huyo bwana mdogo saba mara sabini.
 
Hawachi

Hawachi

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
181
Likes
201
Points
60
Age
26
Hawachi

Hawachi

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
181 201 60
Kwani ww huwezi kuchukua hatua hiyo ya kumkatalia? Kwa hiyo kila mume wa mtu anaye kutongoza una mkubali na kumtanulia miguu? Alafu baadaye unapewa mimba unasema hakujali, lkn what if kama wewe ungeharibu ndoa ya huyo mwanaume, huoni utakuwa umathiri malezi ya watoto wake, alafu kesho una lalamika hakujali ww na mtoto, wako wakati ww mwenyewe ulitaka kufanya hicho hicho cha kumtenganisha na watoto wake.

Hivyo vichwa vyenu vitumieni heshimuni ndoa na familia za wanawake wenzenu, sio mnapewa mimba mnaanza kulialia.
Sijisikii kubishana leo ila naona una fosii tubishane vipi wale wanaume ambao ana kuficha hana Familia kabisa, wewe tulia na mkeo pia ukimpa mimba mchepuko hudumia kelele zitatoka wapi wengi wenu humu mmekimbia damu nzenu. Mimi naomba tu nisipate mwanaume anipe mimba kisha anikimbe wallah namkodishia watu wamfanye kaoge kulipiza kisasi ipo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
10,902
Likes
13,554
Points
280
Age
47
cephalocaudo

cephalocaudo

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
10,902 13,554 280
Sijisikii kubishana leo ila naona una fosii tubishane vipi wale wanaume ambao ana kuficha hana Familia kabisa, wewe tulia na mkeo pia ukimpa mimba mchepuko hudumia kelele zitatoka wapi wengi wenu humu mmekimbia damu nzenu. Mimi naomba tu nisipate mwanaume anipe mimba kisha anikimbe wallah namkodishia watu wamfanye kaoge kulipiza kisasi ipo 🤣🤣🤣🤣🤣
My dada usiumize kichwa.
Just chillax, maisha haya ni mafupi kubishana na watu ovyo ovyo.
 
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Messages
2,680
Likes
1,846
Points
280
Duke Tachez

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2018
2,680 1,846 280
Kwani ww huwezi kuchukua hatua hiyo ya kumkatalia? Kwa hiyo kila mume wa mtu anaye kutongoza una mkubali na kumtanulia miguu? Alafu baadaye unapewa mimba unasema hakujali, lkn what if kama wewe ungeharibu ndoa ya huyo mwanaume, huoni utakuwa umathiri malezi ya watoto wake, alafu kesho una lalamika hakujali ww na mtoto, wako wakati ww mwenyewe ulitaka kufanya hicho hicho cha kumtenganisha na watoto wake na kumfanya mke wake nae angukie katika kundi hili la single mother.

Hivyo vichwa vyenu vitumieni vizuri, heshimuni ndoa na familia za wanawake wenzenu, sio mnapewa mimba mnaanza kulialia.
Halafu huyo akipewa mimba na mume wa mtu, lawama zote kwa mwanaume wakati alikuwa anajua kabisa anadate na mume wa mtu
 
Hawachi

Hawachi

Senior Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
181
Likes
201
Points
60
Age
26
Hawachi

Hawachi

Senior Member
Joined Nov 25, 2018
181 201 60
Halafu huyo akipewa mimba na mume wa mtu, lawama zote kwa mwanaume wakati alikuwa anajua kabisa anadate na mume wa mtu
Kwa hiyo wewe kufanya ngono hali ya kuwa ni mume wa mtu Kwako sio kosa haya ni maajabu kwa kweli, Tulieni na wake nzenu nyinyi ndio mnawaletea wanawake maradhi yasiyo tibika ndani
 
Forum statistics

Threads 1,235,315
Members 474,525
Posts 29,218,130