Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Mtu ukiyezaa naye kuzoeana kijinga it means huja move on. Single mom huwa hawa taki ku accept matokeo yake akija mtu serious wakumpenda hawamu taki. Mimi mtu umemkana mtoto wako basi it's over mazoea yafe unataka mtoto naanda mtu uwe una wasiliana naye na Muda. Kwanza ulimkana hata kukuruhusu kumuona hakuna
Kutomruhusu mtoto kumuona Baba wakati babake anataka kumuona ndiyo madhara ya usingomaza lakini huwezi kujiona kama una tatizo,umeweka pride mbele badala ya mtoto.
 
Akafie huko mbele anataka mtoto akazae mwingine huko wengi hutaka kupooza kiporo tu. Pride ni must mkuu
Kutomruhusu mtoto kumuona Baba wakati babake anataka kumuona ndiyo madhara ya usingomaza lakini huwezi kujiona kama una tatizo,umeweka pride mbele badala ya mtoto.
 
Hahaaaaa mimi namwambia mwanangu yote babako amekukimbia anakula raha huko hatoi matumizi so my dear son/daughter consider ur self you don't have a father. Na wewe ukikua uwe mwema kwa wote. Mie nikumpa tu ukweli wote Bila kuficha siku awe maarufu ndo huwa mnajitokeza mnakufa ka Baba diamond
Unamwambia hivyo akiwa na umri gani?Baba hata kama hajakimbia mnawajazaga ukuda watoto kwasababu hamuwezi kudeal na emotions.
 
Kuanzia mdogo tu naanza mwambia Hali halisi, sasa mimi niko na familia nyingine mazoea ya nini Baba mwema ni yule anayetunza familia huyo mwingine aji murder tu. And it's not about emotions it's reality
Unamwambia hivyo akiwa na umri gani?Baba hata kama hajakimbia mnawajazaga ukuda watoto kwasababu hamuwezi kudeal na emotions.
 
Akaaa.. kunifananisha na mbwa kanigusa kwa kweli. Yani kama kajua kugusa hisia zangu ni leo. Kati ya vitu vinaniumiza ni dharau. Hata matusi naweza kuyahandle ila dharau zinanizidi nguvu.
Jamaa katumia lugha ya kiume tu, wanaume tumemuelewa, wewe hiyo ya kuitwa mbwa ibadilishe iwe bitch utapoa,bitch tunaisikia kwenye hiphop kila siku,matusi kwa kiswahili yanauma bana.
 
Nina rafiki zangu wawili baba zao waliwakataa mama zao walipobeba mimba na walikua kwenye ndoa. Wote baba zao walijua wake zao wanazaa midume na hawataki tena. Mmoja baba ake alimpeleka kabisa mama yake hospital mimba yake itolewe mama akamwambia dokta adanganye akitolewa ile mimba atakufa. Akazaliwa japo baba hakupenda kabisa. Sasa hivi ndip msaada mkubwa kwa mama yake.
kwahiyo hawa nguchiro wanaojihisi wana haki sana ya kusema single moms hawazai kwa kupangilia hawajui hata wao wengine kuwepo kwao duniani ni nguvu za mama zao kuamua kuzaa hata kama baba angekimbia.
I know a bro ambae baba yake hakutaka azaliwe, ishu ni kua mama ake alizaa mtoto wa kwanza wa kiume, wa pili wa kiume (ambae ni yeye) na watatu wa kike, sasa baba ake alitamani apate watoto wawili tu wakike na wakiume, kwa hiyo alipotoka yeye wa kiume alikasirika sana (just imagine) ikapatikana mimba ingine ya haraka akatoka wa kike, basi yule wa kwanza na wa mwisho ndio wakawa watoto wake... alipata tabu sana na ule ubaguzi.
Nakazia hapo kua kuna watu wanajifaragua kulelewa na wazazi wawili kumbe maskini malezi yao yalikua mwiba kwa mzazi wake wa kike.
 
Waulize mama zao siku kama wao walikuja duniani kwa mapenzi ya baba au mama aliforce uwepo wao wakazaliwa. Sema wao hawajali bwana. Wana haki ya kuishi kuliko watoto wetu wanaowaita watoto wa uzinzi.
I know a bro ambae baba yake hakutaka azaliwe, ishu ni kua mama ake alizaa mtoto wa kwanza wa kiume, wa pili wa kiume (ambae ni yeye) na watatu wa kike, sasa baba ake alitamani apate watoto wawili tu wakike na wakiume, kwa hiyo alipotoka yeye wa kiume alikasirika sana (just imagine) ikapatikana mimba ingine ya haraka akatoka wa kike, basi yule wa kwanza na wa mwisho ndio wakawa watoto wake... alipata tabu sana na ule ubaguzi.
Nakazia hapo kua kuna watu wanajifaragua kulelewa na wazazi wawili kumbe maskini malezi yao yalikua mwiba kwa mzazi wake wa kike.
 
kuna wanawake waliolewa na maisha ya ndoa yakawa magumu kwao wakaamua kusepa na mtoto/watoto wao... furaha ya mtu ni jambo kubwa sana sio uteseke kisa uonekane upo ndoani.

By the way kwanini wanaume wanaleta sana mada za single moms lakini sijawahi kuona single mom akileta mada za kulia lia??

Women are very strong, keep it up ladies.
 
Kuanzia mdogo tu naanza mwambia Hali halisi, sasa mimi niko na familia nyingine mazoea ya nini Baba mwema ni yule anayetunza familia huyo mwingine aji murder tu. And it's not about emotions it's reality
Mzazi kama hana uwezo wa kumtunza mtoto na kuna ushahidi hauna haki yeyote kumzuia kumwona mwanaye kwa sababu upo na familia nyingine,na hayo mazoea anataka kujenga na mwanaye siyo wewe, ajenge mazoea na wewe ya nini wakati anakujua juu mpaka chini,afu kuna umri mtoto atakiwi kujua reality.Nakutakia siku njema my love.
 
Back
Top Bottom