Kupitia maoni mengi ya kina dada humu JF, , kwanza nimegundua ni wengi pia wamezaa na hawaishi na wanaume, ama jamaa wamechumpa na kujitenga nao... Kwa kupitia baadhi ya wanawake wa humu nimegundua yafuatayo
1 Wanawake hawa wana midomo sana yaani wanaongea sanaa( ni dizaini ya wale ambao ukimkosea tu ataongea maneno mia) atakupigia simu anaongea kwa sauti ya juu na pengine hata kukujadili na mashoga zake
2. Sometimes wanajifanya wanaweza kumudu malezi wenyewe utashangaa anakwambia maneno ya ovyo ovyo na dharau lazima usepe ale jeuri yake...
3 Wanawake mnaongea sana, mkipretend kuyaweza majukumu na kuwaonesha dharau wanaume.. Mtakoma[emoji23]
4 kuna wanaume ambao tu kwa namna moja ama nyingine wanakimbia majukimu na wavivu wa kutake responsibilities... Ila wanapenda papuchi