Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

tatizo kubwa sikuhizi mwanamke anajilinganisha na mwanaume, na mwanaumea anamchukulia mkewa ka hawara,
kiufupi watu hawana masikilizano kwakukosa elimu ya kujitambua na elimu ya ndoa na hata kama wakipata mmoja anashindwa kwenda kuitumia elimu hiyo ,
ila kingine kikubwa watoto wa kike wamejisahau sana sana katika yale wapaswayo kuyafanya kwa waume zao,mtoto wakike anajiremba akitoka wakati anapaswa ajirembe akiwa kwa mmewe mmewe amone mzuri na anavutia wakati wote kwake sasa yeye akikaa nyumbani anajiweka weka tuu ka anakata mkaa kisa yupo nyumbani
 
Hakuna raha kama kuitwa mama. Hakuna raha kama kumuona mtoto wako. Wasiojua tunawachek tunasema hiiiii
Kwa akili yao wana dhani kila Single Mothers alizaa kwa tamaa ya fedha wengine wana Pata wa toto kwa ajili ya kutimizaa furaha Kuna rahaa bwana kuitwa mama fulani haijalishi kwenye Ndoa au nje.
 
Cowardly men who only seek to test whether they are impotent or not. Once they know they can make a woman pregnant basi they go on a baby making spree. Not once providing for any of their kids.


And the women are too strong to just take the beating lying down. Therefore, there is an increase of single mothers but they won't say there is a rise of successful women too, and they happen to be single.

The kids you abandoned happened to be the source of strength for them. The wind that helped them soar in the sky despite the rough winds.

Stay strong single ladies. You are queens, never let your crowns tip over. Adjust them and never lose focus.
Maneno kama haya ndio yanazidi kutuongezea single mothers badala ya kupiga vita una encourage
 
Tatizo lipo kwa wanaume na wanawake
Mara nyingi watu wanaingia kwenye mahusiano bila mpango,
Wanapeana mimba na hapo mmoja anajikuta Hana hamu tena ya kuendelea

Kila mtu anashika njia yake,

Wakinadada siku hizi wakishika pesa kidogo tu, wanasema hawahitaji Masada wa mwanaume hivyo hawawekezi kujenga familia Bali ubinafsi

Wanaume nao wanachukua mwanamke kwa tamaa tu, huku binti akiamini amepata mtu, matokeo yake anabeba mimba anaachwa hewani
 
Simple kwasababu wanawake wengi siku hizi ni wajuaji, viburi, jeuri na kutaka kuwapangia wanaume badala ya kusimama nafasi yao ya kuwa wanawake....

Umeangalia upande wao,
Vipi wanawake wanaotelekezwa?
Wanaolazimishwa ku abort?
Hili tatizo ni la both sides
 
Wanawake Wengine wamejiamulia kuzaa wenyewe hivo visenti vyenu hawana time navyo !! Hivi kuna single mother yoyote alishawahi kulalamika Humu Jf!! Kama sio nyie wanaume wakimbia mimba mnajiliwaza wenyewe kwa vipost post vya single mother kila kukicha.
Funga mdomo mama single moms tunaona malalamiko yao kila siku humu mara ooo!!! Wanaume wanakimbia majukumu,mara najuta kuwa single mother,mara nimezakishwa nimeachwa, hahaaa
 
Kuna jamaa yangu amezaliwa peke yake na Mama ake ni single mom,
Sasa kuna siku alitoa kauli kuwafedhei single mom pasipokujua yeye alizaliwa hivyo.

Baada ya kumkumbusha kuwa yeye ni zao hilo, alinyata na kujutia kauli yake.

Tuchunge kauli zetu.
Single moms tunawachana tu hata Kama akiwa mama ako, point Ni kwamba tu awe single mother
 
Ni mwanamke ila kuna tofauti wale wanaojiuza barabarani na yule unekutana nae ukamtongoza mtaani.
Hakuna tofauti,wote wanajiuza ila kwa style tofauti,Tena changudoa Ana akili kuliko huyo wa mtaani,anajilinda asipate mimba, kwasababu anajua hamna makubaliano ya kupata mtoto
 
Kwa akili yao wana dhani kila Single Mothers alizaa kwa tamaa ya fedha wengine wana Pata wa toto kwa ajili ya kutimizaa furaha Kuna rahaa bwana kuitwa mama fulani haijalishi kwenye Ndoa au nje.
Sasa Kama Ni hivyo msiwalaumu wanaume,are you a fool?? Mwanaume amekupa heshima ya kuitwa mama,then unakuja kumlalamikia,nyie viumbe hamjielewi
 
Mama kulea Ni majukumu yako,hivi kwani ulibakwa,Kama ulibakwa you are right,Sasa wewe mwenyewe ulivua chupi,ukapanua miguu ukapewa mimba halafu mwisho wa siku lawama kwa mwanaume,are you mentally fit?
Na hata kutoa nilikua najua but I chose to keep it. Kwahiyo mkianza kuongea kama vile sisi ni watoto tulijishtukia tuko na mimba ya miezi tisa tukashindwa kutoa tunawashangaa.
 
Hivi umesoma huu uzi au unajibu tu? sisi tunawajibu nyie mnaoona sisi tuna mizigo kulea watoto peke yetu. Wanaume ndio wanalalamika sisi kuwa single moms sio sisi tunawalalamika idiots zilizokataa kutunza watoto wao au wanaotunza watoto wao lakini hatuishi nao. Soma uzi halafu urejee kwenye majibu
Sasa Kama Ni hivyo msiwalaumu wanaume,are you a fool?? Mwanaume amekupa heshima ya kuitwa mama,then unakuja kumlalamikia,nyie viumbe hamjielewi
 
Hata mama yako???? basi uko na shida mahali. Kama hata kiumbe aliekupa nafasi ya kuishi unaweza ukamchana kwa kuwa alikubali kutukanwa kwa ajili yako leo unamuona ana matatizo.
Single moms tunawachana tu hata Kama akiwa mama ako, point Ni kwamba tu awe single mother
 
Back
Top Bottom