Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Hivi hizi mimba wanajibebesha wenyewe!! These selfish creatures damn you!!!
Mimba nyingi zinapatikana kutokana na mahusiano ambayo wanawake wanajua they are in love and right relationship kumbe mwanaume akili yake inawaza kupiga na kusepa.

Na nyie kama hamtaki watoto basi hakikisha mnatumia condoms, mshajua wanawake ni dhaifu basi msitumie udhaifu wao kuwatafitia visingizio.
Single mother at your best! Wafanyeni watoto wakike wajielewe, waache tamaa za kingono na pesa, wanawake watambue mzunguko wa siku zao na wasishiriki mapz wakiwa danger dayz, mwanamke usibebe mimba bila kupanga na mwanaume wako ili mkubaliane!!
 
Wanawake Wengine wamejiamulia kuzaa wenyewe hivo visenti vyenu hawana time navyo !! Hivi kuna single mother yoyote alishawahi kulalamika Humu Jf!! Kama sio nyie wanaume wakimbia mimba mnajiliwaza wenyewe kwa vipost post vya single mother kila kukicha.
 
Mimba zisizotarajiwa nafikiri kwenye ndoa ndio zinaongoza, sema tu kwavile wako ndoani basi ndo hivyo tena.
Tumesikia. Tukipata tena tutatoa. Ila huwezi jua hata wewe baba ako hakukutaka mama yako akaforce uje duniani na baba hakua na jinsi sababu tayari mke wake alishaamua kutunza ujauzito wako. Just because umezaliwa ndani ya ndoa haikupj assurance kwamba ulipangwa kuzaliwa ama wazazi wako walikua mabingwa wa kutumia family planning.
 
Tungekuwa tunazaa alafu tunawapa walee maybe akili zingewakaa sawa.
Utoto. Wakikua wataacha. Wanahisi wanakomoa mama zao. Alivyokosa haya na yeye anasema single moms wakati na yeye anachangia uwepo wao
 
Hiyo sentensi ndio umejipigilia msumari kuthibitisha lililosemwa, hao ulowazalisha wangekuwa wa maana si ungewaoa ukazalia ndoani kama unavyojifanya wewe ni wa ndoani.

Ndege wanaofanana huruka pamoja,wanaume wa hovyo hovyo huwa wanadate na kuzaa na wanawake wa hovyo hovyo pia,Usiku mwema
 
Kuna jamaa yangu amezaliwa peke yake na Mama ake ni single mom,
Sasa kuna siku alitoa kauli kuwafedhei single mom pasipokujua yeye alizaliwa hivyo.

Baada ya kumkumbusha kuwa yeye ni zao hilo, alinyata na kujutia kauli yake.

Tuchunge kauli zetu.
 
Ndugu yangu najua wewe ni master wa Mitusi
Hao wanawake ni mama zako na dada zako na watoto wako wa kike
Sababu kubwa ni kuwa wamesoma na wana pesa zao hawataki mastress ya ndoa
Wengine utakuta wame divorcée na maisha yana endelea na wengine ni wajanja
Sheria za duniani zitabaki duno
Lakini sheria za Mwenye Enzi Mungu ndio zitakazo tawala dunia
Mbona Obama na Clinton ni product ya single mothers?
Acha kukufuru na uwaombee wanao watunzwe katika mazingira yanayo ridhisha walahi
WATU WANAKUFA NA UKIMWI KILA SIKU
MAMA ANAAMUA KUJIZALIA MTOTO WAKE NA KUTULIA

Brilliant! Hujaniangusha.
 
Unajua kama sisi waislamu tumeambiwa Kuowa wake 4 lakini asilimia kubwa wanapuuzia jambo hilo na pia inabidi tukumbuke kuwa hapa duniani wanawake no wengi kuliko wanaume na ili kila mwanamke azae kweny ndoa lazima awe na wake wenza wasio pungua 2 lakin leo sisi wanaume hatutaki kuowa wake 4 badala yake tunaowa 1 na wengine 4-6 wanakua vimada mungu hakukosea kusema tuowe wake wa 4 kwa kuwa alijua kabisa kwamba wanawake no wengi kuliko wanaume hivyo ili wanawake wote wapate haki yao ambayo ni kuolewa lazima wawe zaidi ya 2
 
Nipi hapa naendelea kuzisoma na kunukuu pahala kauli zenu.

Ila muwe na Akiba ya maneno
 
Wakuu, Nimekuwa nikifatilia swala hili la kina dada wengi kulea watoto wao huku baba za watoto wakiwa hawajulikani ama hata hawashiriki katika malezi ya hao watoto.

Zamani ilikuwa pengine hata ni aibu kwa binti kujifungua nje ya ndoa na ilikuwa ni fedheha kwa familia yake.. Ajabu leo wako wengi sana tena wengine ni wazuri saana warembo wenye sifa zote za kuwa wake, lakin hawajaolewa na wana watoto.. Hili jambo limechangiwa na nini hasa??


Wanasema wanaume wengi wa Dar si wanaume kweli, ni vigarasa tu.
 
Nina rafiki zangu wawili baba zao waliwakataa mama zao walipobeba mimba na walikua kwenye ndoa. Wote baba zao walijua wake zao wanazaa midume na hawataki tena. Mmoja baba ake alimpeleka kabisa mama yake hospital mimba yake itolewe mama akamwambia dokta adanganye akitolewa ile mimba atakufa. Akazaliwa japo baba hakupenda kabisa. Sasa hivi ndip msaada mkubwa kwa mama yake.
kwahiyo hawa nguchiro wanaojihisi wana haki sana ya kusema single moms hawazai kwa kupangilia hawajui hata wao wengine kuwepo kwao duniani ni nguvu za mama zao kuamua kuzaa hata kama baba angekimbia.
Mimba zisizotarajiwa nafikiri kwenye ndoa ndio zinaongoza, sema tu kwavile wako ndoani basi ndo hivyo tena.
 
Na wangetuheshimu. Wanadhani kulea na bado unasimangwa ni jambo rahisi eeeh
Kwa akili yao wana dhani kila Single Mothers alizaa kwa tamaa ya fedha wengine wana Pata wa toto kwa ajili ya kutimizaa furaha Kuna rahaa bwana kuitwa mama fulani haijalishi kwenye Ndoa au nje.
 
mi nimetengeneza single mother kwa mikono yake mwenyewe, Mwanamke umtolee mahali, wazazi wake wakupatie, lengo lako mtengeneze familia, alafu yeye anageuka mshindani wako.

Yaani wewe unafikiria kifamilia, yeye anafikra zake binafsi kabisa kinzani kabisa na misingi ya ujenzi wa familia.

ataisoma namba.
Mkuu kuna mmoja nikonae mimi simuoni kwenye picha ya 2020. Yeye anawaza kwao tuu, ananihimiza mimi nijenge kwenye kiwanja nilichonunua mimi ili iwe nyumba ya familia, halafu yeye anajenga nyumba yake (pembeni ya nyumba ya wazazi wake).
 
Back
Top Bottom