Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Uoga wa majukumu, Wanaume wanatamani ile 'mambo' isingehusiana kabisa na uzazi, ale asepe.

Juzi nimemsikiliza Dada mmoja mlemavu (kutokana na maelezo yake) redioni, anaelezea kuna jamaa alimuingia kwa gia ya 'kwa nini usizae na umri umeenda?"...Dada wa watu akakaa chini akatafakari mwishowe akakubali ushauri, kumbe Mzee baba alikuwa anataka afaudu tu uroda na sio kweli kwamba alikuwa na lengo la kuwa Baba Mtoto, mara paa Bi Dada kajaa, Jamaa saa ngapi asianze kumshawishi Dada atoe hiyo mimba..Dada alipogoma Jamaa nduki.
 
Hivi umesoma huu uzi au unajibu tu? sisi tunawajibu nyie mnaoona sisi tuna mizigo kulea watoto peke yetu. Wanaume ndio wanalalamika sisi kuwa single moms sio sisi tunawalalamika idiots zilizokataa kutunza watoto wao au wanaotunza watoto wao lakini hatuishi nao. Soma uzi halafu urejee kwenye majibu
We mwanamke chizi hujielewi, uliwahi kuja kulalamika humu kwamba umepewa mimba na huyo mkurya wako,ukalalamika kwamba jamaa hapigi simu kumjulia Hali mtoto Wala hatoi hela ya matumizi,Tena ukalalamika haleti hata pipi kwa mtoto,Leo naona unayaramba matapishi yako hapa,kwa akili hiyo utaishiwa kupewa mimba na wanaume wa kila aina
 
Mimi chizi ulikua hujui. Na anaemjibh chizi si ni chizi pia au? Oooh yeah mkurya wangu alikengeuka na sasa ananisaidia una shida na hilo?
Hata nikizaa na wanaume mia tumbo la kubeba mimba ni langu wala sitakuomba unisaidie kulea tuliza kihede mswede.
Kwahiyo single moms tunalalamika hatutunzwi na nyie nyumbu watia mimba mnalalamika ongezeko la single moms?

Sasa mngekua mnashiriki kelele zingetokea wapi? huoni kuna kidume mwenzio huko juu anajisifu kuwa sababh ya single moms mtaani? kwamba yeye anawapa mimba analala mbele? hapo utamlaumu mama alieamua kuzaa au baba aliemua kukimbia majukumu?
Sema hata mkiandika mpaka mkatike vidole maamuzi ya kuzaa au kutokuzaa yako kwa mwanamke. Kwahiyo jifurahisheni tu ila ukiona mtu kawa single mom amependa wala hakushikiwa kisu alelee mimba miezi tisa hivyo mkimsema mtamvunja moyo na kujifanya ajute kuleta uhai.
Kazi moja wapo ya mwanamke kuwepo duniani ni hii ya kujaza dunia.
Shida Ni nyinyi mnalalamika kwamba sisi hatushiriki katika malezi ya mtoto
 
Mimi chizi ulikua hujui. Na anaemjibh chizi si ni chizi pia au? Oooh yeah mkurya wangu alikengeuka na sasa ananisaidia una shida na hilo?
Hata nikizaa na wanaume mia tumbo la kubeba mimba ni langu wala sitakuomba unisaidie kulea tuliza kihede mswede.
Kwahiyo single moms tunalalamika hatutunzwi na nyie nyumbu watia mimba mnalalamika ongezeko la single moms?
Hahahaaaa!!!!!! Mzigua wewe ukipata mimba kabla ya ndoa wazazi wako watakuwa disappointed,lakini kaka yako akimpa mimba binti mwingine huko,hell yeah hakuna kilichoharibika,it's your faults you stupid women otherwise Kama ulibakwa,ulipanua miguu mwenyewe na kelele ukapiga afu mwisho wa siku lawama kwa mwanaume,au labda Kama ulipata mimba ukiwa umelewa
 
Sasa mngekua mnashiriki kelele zingetokea wapi? huoni kuna kidume mwenzio huko juu anajisifu kuwa sababh ya single moms mtaani? kwamba yeye anawapa mimba analala mbele? hapo utamlaumu mama alieamua kuzaa au baba aliemua kukimbia majukumu?
Sema hata mkiandika mpaka mkatike vidole maamuzi ya kuzaa au kutokuzaa yako kwa mwanamke. Kwahiyo jifurahisheni tu ila ukiona mtu kawa single mom amependa wala hakushikiwa kisu alelee mimba miezi tisa hivyo mkimsema mtamvunja moyo na kujifanya ajute kuleta uhai.
Kazi moja wapo ya mwanamke kuwepo duniani ni hii ya kujaza dunia.
Ndiyo kazi ya mwanamke Ni kujaza dunia lakini sio kujaza dunia kwa watoto haramu wa uzinzi
 
Inategemea na mzazi. Mama yangu alishaniusia kutokua mimba. Alisema kuliko utoe mimba zaa nipe nilee. Sio kila mzazi anasapoti abortion.
Mimi hata uniite jina gani kwa kuwa nimeleta kiumbe unajichosha tu. Hujui furaha yangu hivyo kuwa huru kuniita chochote hunitingishi. Tena nikimuangalia mwanangu nazidi kumpenda nikiona kuna watu hamkutaka nimlete eti nitakua mjinga.

Mwanamke anakuja kukuchuna anataka pesa,then yeye ndo mwenye maamuzi ya kuwa/ kutokuwa na mimba,anategeshea mimba ukimuacha lawama kwa mwanaume,jamaa yupo sahihi dawa ya mwanamke mwenye tamaa ya hela Ni mimba tu ili akili imkae sawa
 
Inatukaa sawa kweli hasa pale mnapotupatia wapenzi wa kweli wa maisha yetu na matumizi mnatoa. Mkomoano huo mzuri sana unapoongeza matumizi kuhudumia mtoto uliedhani unamkomoa mama yake.
Mwanamke anakuja kukuchuna anataka pesa,then yeye ndo mwenye maamuzi ya kuwa/ kutokuwa na mimba,anategeshea mimba ukimuacha lawama kwa mwanaume,jamaa yupo sahihi dawa ya mwanamke mwenye tamaa ya hela Ni mimba tu ili akili imkae sawa
 
Inategemea na mzazi. Mama yangu alishaniusia kutokua mimba. Alisema kuliko utoe mimba zaa nipe nilee. Sio kila mzazi anasapoti abortion.
Mimi hata uniite jina gani kwa kuwa nimeleta kiumbe unajichosha tu. Hujui furaha yangu hivyo kuwa huru kuniita chochote hunitingishi. Tena nikimuangalia mwanangu nazidi kumpenda nikiona kuna watu hamkutaka nimlete eti nitakua mjinga.
Sijaongelea kuhusu abortion,I don't support that,una feel proud kuwa na mtoto wa uzinzi,ndo maana nikasema wewe Ni mwanamke wa hovyo hovyo hata watoto wako watakuwa wa hovyo hovyo, inawezekana hata mama ako alikuwa single mom,hivi utamshaurije mtoto wako wa kike asizae nje ya ndoa wakati mama ake umezaa nje ya ndoa??? Unaona chain hiyo,
 
Kupitia maoni mengi ya kina dada humu JF, , kwanza nimegundua ni wengi pia wamezaa na hawaishi na wanaume, ama jamaa wamechumpa na kujitenga nao... Kwa kupitia baadhi ya wanawake wa humu nimegundua yafuatayo

1 Wanawake hawa wana midomo sana yaani wanaongea sanaa( ni dizaini ya wale ambao ukimkosea tu ataongea maneno mia) atakupigia simu anaongea kwa sauti ya juu na pengine hata kukujadili na mashoga zake

2. Sometimes wanajifanya wanaweza kumudu malezi wenyewe utashangaa anakwambia maneno ya ovyo ovyo na dharau lazima usepe ale jeuri yake...

3 Wanawake mnaongea sana, mkipretend kuyaweza majukumu na kuwaonesha dharau wanaume.. Mtakoma[emoji23]

4 kuna wanaume ambao tu kwa namna moja ama nyingine wanakimbia majukimu na wavivu wa kutake responsibilities... Ila wanapenda papuchi
 
Kwa kuwa wewe huzini good for you. Alikuja mtoto haramu Obama na akairule dunia wewe mtoto halali una kipi cha kujivunia dunia hii kama sio kukomaza vidole kumsema mama wa mwenzio ambae huchangii hata school fees?
Obama kuwa rais sio kesi,kesi Ni mtoto wa uzinzi, mama alikuwa Ana tamaa ya pesa,akavuliwa chupi akapata mimba akazaa mtoto wa uzinzi,hivi huoni aibu kuwa na mtoto wa uzinzi?
 
Back
Top Bottom