Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

mi nimetengeneza single mother kwa mikono yake mwenyewe, Mwanamke umtolee mahali, wazazi wake wakupatie, lengo lako mtengeneze familia, alafu yeye anageuka mshindani wako.

Yaani wewe unafikiria kifamilia, yeye anafikra zake binafsi kabisa kinzani kabisa na misingi ya ujenzi wa familia.

ataisoma namba.
Dah we jamaa huna tofauti na mm
 
Wanawake wa sikuhizi hawajatulia na tamaa zimewazidi na wanapenda ngono zembe
 
Wakuu, Nimekuwa nikifatilia swala hili la kina dada wengi kulea watoto wao huku baba za watoto wakiwa hawajulikani ama hata hawashiriki katika malezi ya hao watoto.

Zamani ilikuwa pengine hata ni aibu kwa binti kujifungua nje ya ndoa na ilikuwa ni fedheha kwa familia yake.. Ajabu leo wako wengi sana tena wengine ni wazuri saana warembo wenye sifa zote za kuwa wake, lakin hawajaolewa na wana watoto.. Hili jambo limechangiwa na nini hasa??

hawa sikii,na kuchagua sana kumezidi
 
mi nimetengeneza single mother kwa mikono yake mwenyewe, Mwanamke umtolee mahali, wazazi wake wakupatie, lengo lako mtengeneze familia, alafu yeye anageuka mshindani wako.

Yaani wewe unafikiria kifamilia, yeye anafikra zake binafsi kabisa kinzani kabisa na misingi ya ujenzi wa familia.

ataisoma namba.
Umeongea point kubwa sana hasa kwa ulimwengu wa sasa,umimi na ubinafsi kwa hawa wenzetu umezidi hili nalo ni tatizo linalochochea la kwanza tunalozungumzia katika uzi huu.Nahisi watajifunza
 
Single mother at your best! Wafanyeni watoto wakike wajielewe, waache tamaa za kingono na pesa, wanawake watambue mzunguko wa siku zao na wasishiriki mapz wakiwa danger dayz, mwanamke usibebe mimba bila kupanga na mwanaume wako ili mkubaliane!!
Oooh, Guess what?

I ain't single. And I will forever respect these Queens.
 
Kwa sababu hulka za kijinsia zinabadilika.

Mwanaume na Mwanamke kuwatofautisha ni miili.
 
Tatizo wanapenda Sana pesa,dawa yao Ni kuwatia mimba tu then wakafie mbele,Mimi nishatia mimba watatu
Ndugu yangu najua wewe ni master wa Mitusi
Hao wanawake ni mama zako na dada zako na watoto wako wa kike
Sababu kubwa ni kuwa wamesoma na wana pesa zao hawataki mastress ya ndoa
Wengine utakuta wame divorcée na maisha yana endelea na wengine ni wajanja
Sheria za duniani zitabaki duno
Lakini sheria za Mwenye Enzi Mungu ndio zitakazo tawala dunia
Mbona Obama na Clinton ni product ya single mothers?
Acha kukufuru na uwaombee wanao watunzwe katika mazingira yanayo ridhisha walahi
WATU WANAKUFA NA UKIMWI KILA SIKU
MAMA ANAAMUA KUJIZALIA MTOTO WAKE NA KUTULIA
 
Cowardly men who only seek to test whether they are impotent or not. Once they know they can make a woman pregnant basi they go on a baby making spree. Not once providing for any of their kids.


And the women are too strong to just take the beating lying down. Therefore, there is an increase of single mothers but they won't say there is a rise of successful women too, and they happen to be single.

The kids you abandoned happened to be the source of strength for them. The wind that helped them soar in the sky despite the rough winds.

Stay strong single ladies. You are queens, never let your crowns tip over. Adjust them and never lose focus.
Word walahi
 
Hasara ya malezi mabovu hii. Umewahi kukaa ukafikiria kuwa hizo mimba ni watoto wako!!!
Alafu unaongea kama vile unalolifanya ni jambo jema na la kuigwa kabisa.

Hawa ndio "wababa wa siku hizi" alafu tunakaa kulaumu "watoto wa siku hizi".
Tatizo wanapenda Sana pesa,dawa yao Ni kuwatia mimba tu then wakafie mbele,Mimi nishatia mimba watatu
 
mi nimetengeneza single mother kwa mikono yake mwenyewe, Mwanamke umtolee mahali, wazazi wake wakupatie, lengo lako mtengeneze familia, alafu yeye anageuka mshindani wako.

Yaani wewe unafikiria kifamilia, yeye anafikra zake binafsi kabisa kinzani kabisa na misingi ya ujenzi wa familia.

ataisoma namba.
Si kweli kabisa
Sijui lakini labda sisi wachaga tuko tofauti
Maana sisi ni familia kwanza mengine baadae
 
Hasara ya malezi mabovu hii. Umewahi kukaa ukafikiria kuwa hizo mimba ni watoto wako!!!
Alafu unaongea kama vile unalolifanya ni jambo jema na la kuigwa kabisa.

Hawa ndio "wababa wa siku hizi" alafu tunakaa kulaumu "watoto wa siku hizi".
Hawa ndo wanawake wa siku hizi,hii ndiyo dawa yenu, ukitaka pesa nakupa nakuongezea na mimba juu
 
Ndugu yangu najua wewe ni master wa Mitusi
Hao wanawake ni mama zako na dada zako na watoto wako wa kike
Sababu kubwa ni kuwa wamesoma na wana pesa zao hawataki mastress ya ndoa
Wengine utakuta wame divorcée na maisha yana endelea na wengine ni wajanja
Sheria za duniani zitabaki duno
Lakini sheria za Mwenye Enzi Mungu ndio zitakazo tawala dunia
Mbona Obama na Clinton ni product ya single mothers?
Acha kukufuru na uwaombee wanao watunzwe katika mazingira yanayo ridhisha walahi
WATU WANAKUFA NA UKIMWI KILA SIKU
MAMA ANAAMUA KUJIZALIA MTOTO WAKE NA KUTULIA
Kumbe wao ndio wanaoamua kuwa single mothers,aisee
 
Nashukuru umejijua na wewe wa hovyo hovyo kwa kuwa unazaa hovy hovyo na wanawake wa hovyo hovyo
Asante na wewe mwanamke wa hovyo hovyo uliyezalishwa na mwanaume wa hovyo hovyo akakuacha then ukaja kulia na kuomba jamii forums
 
Back
Top Bottom