Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kupitia maoni mengi ya kina dada humu JF, , kwanza nimegundua ni wengi pia wamezaa na hawaishi na wanaume, ama jamaa wamechumpa na kujitenga nao... Kwa kupitia baadhi ya wanawake wa humu nimegundua yafuatayo

1 Wanawake hawa wana midomo sana yaani wanaongea sanaa( ni dizaini ya wale ambao ukimkosea tu ataongea maneno mia) atakupigia simu anaongea kwa sauti ya juu na pengine hata kukujadili na mashoga zake

2. Sometimes wanajifanya wanaweza kumudu malezi wenyewe utashangaa anakwambia maneno ya ovyo ovyo na dharau lazima usepe ale jeuri yake...

3 Wanawake mnaongea sana, mkipretend kuyaweza majukumu na kuwaonesha dharau wanaume.. Mtakoma[emoji23]

4 kuna wanaume ambao tu kwa namna moja ama nyingine wanakimbia majukimu na wavivu wa kutake responsibilities... Ila wanapenda papuchi
Mimi sijaa wala ina mnaanzisha nyuzii za kipopoma.
 
Alikutegeshea barabarani?
Linapokuja suala la watoto hebu ondoa mihemko yako na utumie akili kufikiri.
Alinitegeshea kitandani guest na hakuna aliyetuona, point inabaki pale pale kwamba alitegeshea
 
Mpumbavu ni wewe. Obama na yeye ni zao la uzinzi. Au uzinzi wa watanzania tu ulimaanisha?
Obama kuwa rais wa dunia haifuti kwamba alizaliwa katika uzinzi halafu huo mfano wako hauna mashiko,hau relate na tunachoongea hapo,usimlinganishe huyo mkurya wako na Obama, usimlinganishe Obama na vitu vya kipumbavu
 
Huna akili ww kojoa ulale ww ndyo anayebeba mimba au mzunguko wake wa hedhi uko mwilini mwako izi lawama mwanamke hawezi kuzikwepa waache kufanya vitu kwa hisia Bali watumie akili zao kufanya maamuzi kwanni wapele papuchi bila kuangalia kalenda au mzunguko wake kwani akimzungusha kwa siku tano atatoboka waache kuweka huruma mbele
 
Ulifaulu darasa la saba??? Usijilinganishe na mgumba kwasababu tu umezaa mtoto wa uzinzi???
Mtoto wa usinzi ana alama gani, bado sijanzaa na hata kama nikizaa sitajutiaa iwe nimeolewa ama laa furaha ya mwanamke kuitwa MAMA
 
Mkuu hujajibu swali,kwa point yako unamaanisha kwamba wanawake wanaopata mimba kabla ya ndoa na kuachwa hawana akili
La hasha, mwanamke ana weakness ya kudanganywa hilo lipo wazi, na mimba isiyotarjiwa ni matokeo ya udanganyifu wa mwanaume, hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayemfuata mwanamme ila mwanaume ndiye chanzo. Usijitwishe upofu.
 
and that was two years back. Ongelea mada ya ongezeko la single moms usilete mada yako ya single moms kutaka asaidiane na baba malezi. Naona unataka kubaka mada kwa kuleta mada yako kisa mzigua anaandika.
Anza na mzigua mwambie ajitafakari maana alileta Uzi kumlalamikia mzazi mwenzake humu
 
Mpumbavu ni wewe. Obama na yeye ni zao la uzinzi. Au uzinzi wa watanzania tu ulimaanisha?
Mpumbavu Ni wewe uliyevua chupi ukiwa katika siku zako ukapanua miguu,ukabinua na matako ukamwagiwa shahawa ukazaa mtoto wa uzinzi,halafu lawama zote kwa mkurya as if alikushikia panga au alikubaka,nyie viumbe mbona mnapenda kunyosha vidole kwa wengine nyie mbona hamjiangalii
 
Namuonea huruma hata mwanamke anaempanulia miguu mwanaume anaesema hata mama yake kama ni single mom asemwe. Sema tunazaaga ila jamani basi tuu. Huyu nae mama ake anasema mwanangu anaheshimu sana wanawake. Hahahahaa
Ukikua utaacha, hivi una father figure kwenye maisha yako kweli!!!
 
La hasha, mwanamke ana weakness ya kudanganywa hilo lipo wazi, na mimba isiyotarjiwa ni matokeo ya udanganyifu wa mwanaume, hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayemfuata mwanamme ila mwanaume ndiye chanzo. Usijitwishe upofu.
Kwa hiyo wanawake wanaozaa ndani ya ndoa,hao sio dhaifu na hawadanganyiki sio
 
and that was two years back. Ongelea mada ya ongezeko la single moms usilete mada yako ya single moms kutaka asaidiane na baba malezi. Naona unataka kubaka mada kwa kuleta mada yako kisa mzigua anaandika.
Nilikuwa najibu hoja kwamba nyinyi mnadai mnaweza kulea watoto bila uwepo wa mwanaume which is absolutely wrong
 
Kumbe kila single mom alitegesha mimba?? nina wasiwasi ulitegeshewa mimba wewe sio kwa hasira hizo. Hata kama wifi alikutegeshea mimba bado alichokibeba ni damu yako. Hizi hasira ungeziweka kwenye matumizi ya condom usingekua unapovuka saa hizi hapa. Kalee aunr yetu huko
Mwanamke anakutegeshea mimba then unasema Nina roho mbaya,Ana roho mbaya au mimi
 
Naona watu wanaanza kupasuana humu...natunza kumbukumbu tu
 
Back
Top Bottom