Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Ndio akina baba diamond hawa, kesho na keshokutwa anatafuta huruma ya jamii wakati sasa hivi wanajiona miamba.

Kazi ipo.
Wanawake Wengine wamejiamulia kuzaa wenyewe hivo visenti vyenu hawana time navyo !! Hivi kuna single mother yoyote alishawahi kulalamika Humu Jf!! Kama sio nyie wanaume wakimbia mimba mnajiliwaza wenyewe kwa vipost post vya single mother kila kukicha.
 
Chanzo cha matatizo hayo yote ni Sisi wanaume, mwanamke hapaswi kupewa lawama zozote, ni kiumbe dhaifu!
Wapi imeandikwa kuwa wao Ni dhaifu hebu nioneshe tafadhali, mwanamke Ana tamaa ya pesa,akavua chupi akiwa katika siku zake akapata mimba akaachwa then mwisho wa siku lawama kwa mwanaume ,foolish
 
Kwa akili yao wana dhani kila Single Mothers alizaa kwa tamaa ya fedha wengine wana Pata wa toto kwa ajili ya kutimizaa furaha Kuna rahaa bwana kuitwa mama fulani haijalishi kwenye Ndoa au nje.
Wachache katika wengi na awo ni wale ambao umrii ambao umesogea kidogo 30 na zaidi ila ambao wanazaa wakiwa na miaka 20 hadi 25 wengi hujutia kuzaa umri uwoo
 
Wanawake Wengine wamejiamulia kuzaa wenyewe hivo visenti vyenu hawana time navyo !! Hivi kuna single mother yoyote alishawahi kulalamika Humu Jf!! Kama sio nyie wanaume wakimbia mimba mnajiliwaza wenyewe kwa vipost post vya single mother kila kukicha.
Yupo,!!! Anaitwa mzigua alikuja kulalamika humu kwamba mzazi mwenzake hapeleki hata pipi tu kwa mtoto
 
Wapi imeandikwa kuwa wao Ni dhaifu hebu nioneshe tafadhali, mwanamke Ana tamaa ya pesa,akavua chupi akiwa katika siku zake akapata mimba akaachwa then mwisho wa siku lawama kwa mwanaume ,foolish
Mara nyingi wadada wanakuwaga wametulia nyumbani, wanaume ndo huwafuata na kuwashawishi kisha kuwaingiza kwenye matatizo yote haya, ikumbukwe kuwa nafasi zetu kama wanaume tunazitumia sivyo na dhambi hii ya udanganyifu na kutelekeza watoto itatutafuta maisha yetu yote.
 
Kichwa chako hakiko Sawa hao watoto wa usinzi wana zaa na upepo
Huyo mwanamke anapovua chupi akiwa kwenye siku zake hajui kuwa atapata mimba??? Mbona mna lawama za kijinga nyie??? Nyie ndo waamuzi wa kupata/ kutopata mimba mjilaumu wenyewe sio sisi
 
Mara nyingi wadada wanakuwaga wametulia nyumbani, wanaume ndo huwafuata na kuwashawishi kisha kuwaingiza kwenye matatizo yote haya, ikumbukwe kuwa nafasi zetu kama wanaume tunazitumia sivyo na dhambi hii ya udanganyifu na kutelekeza watoto itatutafuta maisha yetu yote.
Mkuu hujajibu swali,kwa point yako unamaanisha kwamba wanawake wanaopata mimba kabla ya ndoa na kuachwa hawana akili
 
Huyo mwanamke anapovua chupi akiwa kwenye siku zake hajui kuwa atapata mimba??? Mbona mna lawama za kijinga nyie??? Nyie ndo waamuzi wa kupata/ kutopata mimba mjilaumu wenyewe sio sisi
Ubongo wako hauko Sawa wangapi wana hitaji watoto hawapati kama kweli kupata mtoto ni muamuzi mwanamke halafu Kuna kile kimsemo chenu hatuwezi kula pipi na ganda lake.
 
Alikutegeshea barabarani?
Linapokuja suala la watoto hebu ondoa mihemko yako na utumie akili kufikiri.
Mwanamke unalala naye kea starehe bila makubaliano yoyote ya kupata mtoto,akipata mimba ukiikataa lawama kwa mwanaume,kwa style hii mtapewa mimba na kila Aina ya mwanaume
 
Mwanamke anakutegeshea mimba then unasema Nina roho mbaya,Ana roho mbaya au mimi
unataka kuniambia uhalali wa kutembea na dada bila mpango wa kumwoa unautoa wapi? Kwann useme kakutegesha mimba wakati wewe ndo umemshawishi? Umemwona huyo ni mfanyabiashara wa ngono? Kwann usitafute wanawake special kwa kazi hiyo ukamaliza shida zako kama wewe ni mwanaume mwenye akili? Kwann uende kuharibu binti aliyejitunza kwa ajili mme wake wa baadaye? Unaongea ujinga mtupu.
 
Ubongo wako hauko Sawa wangapi wana hitaji watoto hawapati kama kweli kupata mtoto ni muamuzi mwanamke halafu Kuna kile kimsemo chenu hatuwezi kula pipi na ganda lake.
Ulifaulu darasa la saba??? Usijilinganishe na mgumba kwasababu tu umezaa mtoto wa uzinzi???
 
Back
Top Bottom