Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
naamini wanaume waliosimama ulichokiandika roho zao zimebadilika kwa kiasi fulani......mungu akubariki kwa ujumbe wenye hekima
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
naamini wanaume waliosimama ulichokiandika roho zao zimebadilika kwa kiasi fulani......mungu akubariki kwa ujumbe wenye hekima
Hii kauli wengi walio kwenye ndoa huiongea sana, sasa huwa najiuliza hivi kwanini ung'ang'anie kukondeshana nafsi kama mmejitahidi sana kurekebisha hali ikashindikana? Wengine huishia kuuana, au ndio ile utajua namna ya kuvuka mto ukifika mtoni!!
Asante mdada kwa kumjibu vyemaaa
atoto hebu tumika kwenye ndoa yako acha kurusha mawe. Lawama ni lazima coz wanaume na wanawake ni viumbe tofauti in all aspects.
Hawkings kaswma juzi kwenye mtandao wa redit kwamba wanawake ndo mysery ambayo hajaweza kuisolve...ngumu sana kuwaelewa
Heaven Sent yo totaly right my dear, mpaka nalileta hili humu have seen alot in here and out there.
Niko ktk group moja la ladies wasapp tupo 50 ladies ambao hatujaolewa ni wawili tu, mule tunajifunza alot, jamani ndoa zina mazito hizi, nikaja kugundua kuwa mostly wanawake wanahangaika sana ktk kusimamia ndoa zao pale zinapoyumba na hupokea ushirikiano mdogo sana au hakuna kabisa kutoka kwa wanaume zao, wanavumilia mengi sana ila wanaume wanasubiri mwanamke akosee tu ili apate pa kutokea.
Sisemi kuwa wanawake tumekamilika au hatuna cha kulaumiwa lkn kwanini tulaumiane wakati mahusiano ni ya wawili? Why not work out on it wote?
Labda sababu za mahusiano yaliyopita yanakuwa yameshatuchosha saana
kiasi kwamba mwenzio akifanya kitu inakua kama 'marudio'
ni kama anakurudisha kulekule ulipoapa hutarudi.....ndo maana hasira zinakua twice
Wanawake mnapenda kuona mnaonewa but hebu fikiria hawa wanaume mnaosema wanawanyanyasa wamewapa maisha yote nyinyi wanawake. Mwanaume yoyote huwa anawaza kuihudumia na kuhakikisha mke na wanae wanapata kilicho bora kabisa katika maisha yake. Ila wanawake wengi huwa hawaoni hilo. Hasa wanawake wengi huwaza kusaidia familia yake na kusaidia kwao. Ila mwanaume hujaribu kujenga na kuiweka familia yake katika furaha. Na amini wanaume wengi tunawaza mke wangu na watoto watavaa nini? watakula nini? Watoto wangu watasoma wapi na n. k..
Nb:ILA KUNA WANAUME WANAWATESA WANAWAKE SANA. KIASI HUWA NA SEMA HAWA WANAWAKE HAWANA MAKWAO. AU KAMA NI SHEMEJI YANGU BASI NINGEENDA KUMCHUKUA DADA YANGU.. AACHANE NA WANAUME WA HIVYO.
Atoto hakika Mada yako umesema UKWELI ni jukumu letu wote kukubali kujisahihisha badala ya kulaumu.Kila MTU ana wajibu wa kufanya katika mahusiano ili kuboresha mapenzi.Mimi niseme sisi wanaume tuna wajibu zaidi ya wanawake kuboresha mahusiano kabla ya kulaumu kwa sababu mwanaume ni kichwa cha familia
Kwani unadhani Mungu ni Kaizer hadi alipowaambia mtumie akili kuishi nasi? Alafu bahati mbaya sana nahisi hiyo akili aliificha, kwahiyo ni wachache mnoooo wenye hofu naye ndio huwa anawapa utambuzi wa kuitumia akili hiyo, just try him and you ll see.
Unadhani Mungu anaweza kutoa maagizo hayo kisha afanye hivyo?
mkuu The Boss umeongea kwel aisee........kwanza unakuta kila mtu kadanganywa na kufanyiwa maigizo huko alikotoka ya kutosha.........pili unakuta hata lile tendo halifurahii tena (japo hii inachukua 20% ya maisha ya ndoa) ,miili imechoka balaa......
nadhan ustawi mbovu wa ndoa zetu pia unashababishwa na kuanza mahusiano tukiwa bado nje ya ndoa!!
It's not that easy my sis, ar u married?
Nb:ILA KUNA WANAUME WANAWATESA WANAWAKE SANA. KIASI HUWA NA SEMA HAWA WANAWAKE HAWANA MAKWAO. AU KAMA NI SHEMEJI YANGU BASI NINGEENDA KUMCHUKUA DADA YANGU.. AACHANE NA WANAUME WA HIVYO.
It's not easy to let go of someone you had a long term relationship with.... Whether you were married (as In had a wedding?? ) or not.
Ikifika point njia zote za kutengeneza amani nyumbani zinagoma na furaha yako maishani inakuwa ya kuhesabu it's very easy to let go.
My aunt left her abusive husband and became a single mother of two kids under 10. Dada yake aliyekomalia ndoa "for the sake of kids" na kushika dini, wakikutana ni kumlilia jinsi anamtamania ujasiri wake na maisha yake. Aunt kakuza watoto kaja kuolewa na mwanaume mwingine uzeeni. Hopefully she is happy.
Moral:You have no reason to stay in an unhappy marriage. It's very easy to get out of a shitty relationship and regain happiness.
Heaven Sent naomba unitafutie dady yako Kaboom, sijamtia machoni since juzi sijui ndio kaenda kuomba umeneja!!Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Wanawake mnapenda kuona mnaonewa but hebu fikiria hawa wanaume mnaosema wanawanyanyasa wamewapa maisha yote nyinyi wanawake. Mwanaume yoyote huwa anawaza kuihudumia na kuhakikisha mke na wanae wanapata kilicho bora kabisa katika maisha yake. Ila wanawake wengi huwa hawaoni hilo. Hasa wanawake wengi huwaza kusaidia familia yake na kusaidia kwao. Ila mwanaume hujaribu kujenga na kuiweka familia yake katika furaha. Na amini wanaume wengi tunawaza mke wangu na watoto watavaa nini? watakula nini? Watoto wangu watasoma wapi na n. k..
.
Kwa taarifa yako waleta pesa nyumbani sikuhizi ni kina mama. Hiyo picha uliyochora hapo juu ni picha ya kufikirika bongo hii ya leo.
Na mada za shida nilizosoma humu ndani si za wanawake magolikipa. Ni watu Wana kazi tena wanaingiza kuliko waume zao.
apologize lady alikuwa aseme kinachowapa kiburi wanaume hawa ni nini sijui kaishia wapi