Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Wanawake wanaleta pesa kwenye familia ngapi unazozijuwa?

By the way,habari ya miaka?

Eiyer!!! Embu anzisha thread tubishane basi sijabishana na mtu siku nyingi.

Sijuani na mwanamke yeyote personally ambaye ni golikipa. Nawasoma kwenye karatasi tu.

And I'm fortunate enough to have access to a lot of people's private information kwahiyo kwenye swala la statistics la wanawake wapiga mzigo hapa mjini hata tusibishane.

Of course tuko na campaign ya mwanamke kazi kwa mume dyudyu tu kwakuwa tunajua bado wanawake magolikipa ni wengi hasa vijijini.
 
Heaven Sent yo totaly right my dear, mpaka nalileta hili humu have seen alot in here and out there.
Niko ktk group moja la ladies wasapp tupo 50 ladies ambao hatujaolewa ni wawili tu, mule tunajifunza alot, jamani ndoa zina mazito hizi, nikaja kugundua kuwa mostly wanawake wanahangaika sana ktk kusimamia ndoa zao pale zinapoyumba na hupokea ushirikiano mdogo sana au hakuna kabisa kutoka kwa wanaume zao, wanavumilia mengi sana ila wanaume wanasubiri mwanamke akosee tu ili apate pa kutokea.

Sisemi kuwa wanawake tumekamilika au hatuna cha kulaumiwa lkn kwanini tulaumiane wakati mahusiano ni ya wawili? Why not work out on it wote?
Sometimes huwa nafikiria sana au hii kitu ndoa ni kwa ajili ya wanawake tu? Lawama zoote utapata,mume akianza ukorofi utaambiwa chanzo ni mke, na hata wazazi hawatoi ushirikiano mzuri. Utaambiwa mvumilie tu.Ndugu zake wakunyanyase ni kawaida tu hakuna anayeshtuka.Kosa afanye mke ila mume ni sawa. Vingine vinafanya wanawake kuwa wakorofi kwasababu ni too much expectation na pressure juu.
 
Back
Top Bottom