ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,277
- 129,647
Jibu basi tukate mzizi wa fitna live on stage!!! TehMzee wa ferry una makusudi khaaa. Haya kuna nini tena hadi umeniuliza hivyo
Jibu basi tukate mzizi wa fitna live on stage!!! TehMzee wa ferry una makusudi khaaa. Haya kuna nini tena hadi umeniuliza hivyo
Kutoa lawama ni njia moja wapo ya kuhamisha mzigo toka sehemu moja kwenda nyingine.
Ni kama unajiona haupo responsible kwa tatizo lililotokea.
Wanawake jifunzeni kuishi kwa akili na wanaume wenu. Usitegemee mumeo akakubali kosa moja kwa moja.
Si unaona hata wewe ndicho ulichokifanya!! Hivi hata maandiko si yamesema nyie(wanaume) ndio muishi nasi kwa akili? Mbona sasa kila balaa mumetuangushia? Hivi tunajioa au tunaoana?
mwanamke ni dereva wa mapenzi ila inategemea anaendesha mapenzi ya iana gani? wanaume hawataacha kuturushia lawama na hii ni kutokana na background zao.. baba yake alikuwa kila tatizo anamrushia mama hasa yanayohusu watoto na majukumu ya familia.. kwa hilo tu usitegemee kukutana na mwanaume atakaye tetea mwanamke hata siku moja...
muhimu kutambua ni kuwa binadamu asiyelaumika ni sawa na mnyama ... so lawama zipo mapaka mwisho wa dunia....
ila ni heri lawama kuliko fedheha
Mtu hata hajaoa ashajijengea na wanaambiana kuwa wanawake ni lazima wanajisahau kwenye ndoa. Na mke akijisahau tu basi mchepuko ndo dawa yake. Sasa unategemea akiwa kwenye ndoa ataishije kama sio kuwa tu busy kungojea ile siku ya ahadi utakapojisahau akachepuke. Hayo mema yako anaya-overlook, anaamini ni ya muda tu yataisha na utajisahau sawasawa na imani yakeHili ni bonge la tatizo, kwa mtazamo huu hata mtu akutendee mazuri vipi ni kazi bure
Teh basi napasua jipu pwaaaaaa. Ndo kwanza nimefunga pingu za maisha na bwana Paulo Sergio De Souz, yani ndoa bado ipo kwenye "honeymoon phase" na itakuwa hivyo daima[emoji132] [emoji132]Jibu basi tukate mzizi wa fitna live on stage!!! Teh
maandiko matakatifu yanasema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe na tunasoma jinsi wanawake walivyo na nguvu kama akiamua kuitumia nafsi yake aliyopewa na mwenyezi Mungu mbona wanaume hatukohoi bira hata kwenda kwa babu pale bagamoyo? kwa hiyo nyumba ikiharibika wa kulaumiwa ni mwanamke, na ikisimama wa kusifiwa ni mwanamke
Heaven Sent yo totaly right my dear, mpaka nalileta hili humu have seen alot in here and out there.
Niko ktk group moja la ladies wasapp tupo 50 ladies ambao hatujaolewa ni wawili tu, mule tunajifunza alot, jamani ndoa zina mazito hizi, nikaja kugundua kuwa mostly wanawake wanahangaika sana ktk kusimamia ndoa zao pale zinapoyumba na hupokea ushirikiano mdogo sana au hakuna kabisa kutoka kwa wanaume zao, wanavumilia mengi sana ila wanaume wanasubiri mwanamke akosee tu ili apate pa kutokea.
Sisemi kuwa wanawake tumekamilika au hatuna cha kulaumiwa lkn kwanini tulaumiane wakati mahusiano ni ya wawili? Why not work out on it wote?
De Souz ndio anamega mkate wa uzima? Teh... peaneni na msinyimane!!Teh basi napasua jipu pwaaaaaa. Ndo kwanza nimefunga pingu za maisha na bwana Paulo Sergio De Souz, yani ndoa bado ipo kwenye "honeymoon phase" na itakuwa hivyo daima[emoji132] [emoji132]
Eeh na kwa nini tunyimane sasa, while ni halali yetu [emoji85] [emoji85] [emoji85]De Souz ndio anamega mkate wa uzima? Teh... peaneni na msinyimane!!
Hahaha. Nimependa ulivyoanza. "Nimekuwa nikishuhudia", sema umekuwa ukishiriki. Kama ningekuwa Alien nimetumwa kuja kuwachunguza wanaume duniani, na nikakutana na comments zako kuwahusu, ningepata picha ni viumbe wa ajabu sana.
Ujumbe mzuri btw. Malezi ndio kila kitu.
Halafu Heaven Sent mama, hilo gazeti nimesoma tu kwa kuwa ni Missus. Aki-post mtu mwingine post ndefu hivyo, nam-report ale ban.
Ndoa ni two way traffic.
Ndoa haileti shida pale mnapokuwa mnaendana kimtazamo.
Ndoa za siku hizi zinaanguka kwasababu wanawake wanakimbilia kuolewa na wanaume ambayo hawaendani.
Hawapati muda mzuri wa kufikiri na kufanya maamuzi thabiti.
Baadae mnakuja kugundua kuwa makosa yametendeka mpo ndani ya ndoa na hamuwezi kutoka.
Kwanin baadhi ya ndoa zinadumu na nyingine hazidumu?
Kwanin za wenzako zidumu na yako haidumu?
Mmekosea kuanzia kwenye kufanya maamuzi ya nani wa kuwaoa.
Mahusiano ni two way traffic ni lazima kuwa pamoja hasa wakati mgumu katika maisha , imani na upendo ndio silaha ya maelewano.
Peace n love na umenena vema na sie wanaume pia kwa sehemu tusijisahau na kuwalaumu saaana tu nyie
Kwa point hii umenirudisha likizo.....Mimi ni mhanga wa mfumo wa namna hii ila niliuchukia na kuahidi kutoutumia ktk ndoa yangu na nimefanikiwa japo mama j ndiye mwenye majibu. Siamini kama kila jambo linaridhishwa kwani tumezaliwa na utashi tofauti ila elimu ya utambuzi ndio mwarobaini wa matatizo kama haya. Nawapa pole sana wahanga hasa walioolewa na baadhi ya wachaga malimbukeni maana kwao ni desturi.mwanamke ni dereva wa mapenzi ila inategemea anaendesha mapenzi ya iana gani? wanaume hawataacha kuturushia lawama na hii ni kutokana na background zao.. baba yake alikuwa kila tatizo anamrushia mama hasa yanayohusu watoto na majukumu ya familia.. kwa hilo tu usitegemee kukutana na mwanaume atakaye tetea mwanamke hata siku moja...
muhimu kutambua ni kuwa binadamu asiyelaumika ni sawa na mnyama ... so lawama zipo mapaka mwisho wa dunia....
ila ni heri lawama kuliko fedheha