Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Teh yani sasa hivi mke unatakiwa uwe mke mwema at the same time "uishi na mumeo kwa akili", mbona tutakoma. Ndoa sio utumwa wala ndoa sio kila siku kumfurahisha mtu mmoja tena. Wewe upo tu unamuangalia akhuuuu

Inabidi wanaume nao wawekwe ndani wafundwe, wajitambue kwakweli.
 
Teheeeee!! We si ulisema wanawake na wanaume tuko tofauti sana? Itumie ile akili sasa,mnafikiri tungekuwa sawa mngeambiwa mtupende na kuishi nasi kwa akili?

Tatizo nyie wabinafsi sana(japo kila binadamu mbinafsi) ila nyie mmezidi, inabidi na nyie muanze kufundwa, kuna siku nilimsikia Chriss Mauki akisema inabidi wanaume waanze kufindwa now i get him.
Sina mentality hiyo atoto, I don't play the so called "blame game" coz katika mahusiano haifikishi popote. Chukua nafasi yako, fanya kwa nafasi yako. Na kwa vile natambua tofauti ya kimaumbile, ya kisaikolojia, ya kifikra nk tuliyonayo huwa siumizi kichwa sana coz I know for sure, yapo mengi hatuwezi kuwa na fikra sawa, sioni sababu ya kulialia kutafuta sympathy.

Lakini pia chukulia mahusiano yako na dada yako, kama yeye ambaye mnashea mengi ikiwemo damu mnafikia mahala mnakwaruzana (kumbuka kuna familia watu wana internal conflicts), iweje kwa mtu mnayekutana ukubwani.

Ndoa ni uvumilivu, kuelewana, kuchukuliana, kubebeana, "kupendana" (if that exists)...nk.
 
Last edited by a moderator:
Brod darlin em just read between the lines. Uwe na mahusiano na mtu afu akwambie " nakuangalia tu". Is it a good sign? Huyu mtu ameshajikatia tamaa. Furaha yake kaiweka rehani ili tu mwingine aendelee kufurahi. Hiyo ndoa ni kwa ajili ya kumfurahisha tu mwanaume? Ni sawa mpo kwenye ndoa afu mtu "anakuignore" tu. Fanya utakavyo, utajijua na roho yako, hakuna mwisho mwema
Sisy darling, life's got ups n downs. So are marriages. Sio kila wakati mtu aweza kuwa katika same state of mind. Ndio maana tunatakiwa kujifunza kuishi na wenzetu, tuongee nini, wakati gani...au tusikilize na kuelewa mambo bila kuhemkwa. Nina tendency moja, nikiona conversation ipo destructive, huwa sisubiri hadi mambo yalipuke, I'd walk away au nikae kimya coz I know nikikaa hapo yaweza kuwa mengine. Tujifunze tu kuishi na wenzetu, kulalamika na kulia ovyo ( ambako wengi wenu mna hiyo tabia) hakusaidii..
 
Sina mentality hiyo atoto, I don't play the so called "blame game" coz katika mahusiano haifikishi popote. Chukua nafasi yako, fanya kwa nafasi yako. Na kwa vile natambua tofauti ya kimaumbile, ya kisaikolojia, ya kifikra nk tuliyonayo huwa siumizi kichwa sana coz I know for sure, yapo mengi hatuwezi kuwa na fikra sawa, sioni sababu ya kulialia kutafuta sympathy.

Lakini pia chukulia mahusiano yako na dada yako, kama yeye ambaye mnashea mengi ikiwemo damu mnafikia mahala mnakwaruzana (kumbuka kuna familia watu wana internal conflicts), iweje kwa mtu mnayekutana ukubwani.

Ndoa ni uvumilivu, kuelewana, kuchukuliana, kubebeana, "kupendana" (if that exists)...nk.

Nimekuelewa ex darling.
 
Last edited by a moderator:
Sisy darling, life's got ups n downs. So are marriages. Sio kila wakati mtu aweza kuwa katika same state of mind. Ndio maana tunatakiwa kujifunza kuishi na wenzetu, tuongee nini, wakati gani...au tusikilize na kuelewa mambo bila kuhemkwa. Nina tendency moja, nikiona conversation ipo destructive, huwa sisubiri hadi mambo yalipuke, I'd walk away au nikae kimya coz I know nikikaa hapo yaweza kuwa mengine. Tujifunze tu kuishi na wenzetu, kulalamika na kulia ovyo ( ambako wengi wenu mna hiyo tabia) hakusaidii..

Exactly, thats why cant forget you, what did i just said? Hapana hiyo imejipost.
 
Exactly, thats why cant forget you, what did i just said? Hapana hiyo imejipost.
You just said it ex darling. teh teh!! Can't forget you either. Lazima wikiendi hii tukumbushe..hamna namna!!
 
atoto ukimfumania boyfriend wako utamfanyaje? Au hata mume wako?

Kama ni mimi nimemfumania mume wangu kwa dhambi ya uzinzi namwacha hata kwenye dini inaruhusiwa
Cha kuniletea magonjwa nn kila mtu afie kivyake
 
Last edited by a moderator:
sema mwanaume ni mbabe na mtawala hivo kwa sehemu hiyo saikolojia inasababishwa na uumbaji yani sie hatutakagi kushindwa, pia kwa sehemu yake umeeleweka kuwa sio tu kuwalaumuuu wee anagalau na sie tuwafikirie
 
sidhani kama kuna mtu amelazimishwa kuoa/kuolewa. Ndo maana Nikasema Ukiona mambo ya ndoa huyawezi kabisa,. Basi kaa tu single.

Mimi nimekuuliza wewe. Ndoa ni kitu cha lazima sana kwa mwanadamu?
 
Mimi nimekuuliza wewe. Ndoa ni kitu cha lazima sana kwa mwanadamu?
Sasa siwezi kumjibia kila mtu. Kwa sababu kila mtu ana maisha yake na priorities zakr. All in all Sidhani kama ni kitu cha lazima, inaweza ikawa ni kitu cha muhimu
 
Sasa siwezi kumjibia kila mtu. Kwa sababu kila mtu ana maisha yake na priorities zakr. All in all Sidhani kama ni kitu cha lazima, inaweza ikawa ni kitu cha muhimu

Kweli kabisa, ni muhimu lakini sio lazima, so kama ni muhimu basi na ichukuliwe kwa umuhimu vilevile.
 
Nafahamu wanawake wengi sana ambao ndoa zao zipo juu ya mawe kwasababu walikuwa desperate kuolewa.

Mtu anakuja bila kuwa na mbele wala nyuma ila wao wanamkubali, mwisho wa siku wanakuja kulialia hapa.

We tuna mtazamo na experience sawa mkuu, ingawa atoto anajifanya hataki kuelewa. Wabishe wanavyobisha lakini wrong choices ndo zinawakosti

Mi mwenyewe nawafahamu kibao wa aina hiyo, tena wakiwemo ndg zangu kabisaa
 
Daaaah nyie viumbe hamna shukrani!! Sema hiviii "wrong choices ndizo zinazotuponza" sio wanawake pekee, unanichagua kwanza then nakuaccept if naona unanifaa, tunafahamiana then tunakubaliana kwenda kwenye step inayofuata, sasa kwanini lawama ukazane kuzitupa kwetu tuuuuuu!!

Haya endeleeni kutulaumu maana hii inawapa releaf ya maovu yenu, japo haitoondoa ukweli kuwa we are all to blame.
 
My boss unajua katika hili me na wewe ni wamoja daima.

Naamini na Najua kuwa mke ndo anabeba kusudi la mume wake, ndiye msaidizi wa mume wake na hivyo hatima ya ndoa nyingi ipo mikononi mwa mke. Sasa inavyoonekana ndoa nyingi mke part yake huwa inajulikana mapema, ila part ya mume imebaki kutegemea mke atakavyosimama ( wanaume wengi wana ile 50/50 myth. Yani kwamba anategea mke akiteleza tu basi mume atateleza mara 2 yake

Wanaume wamekuwa wakiishi na wake zao kwa machale sana. Sasa unapoishi kutegea mtu akosee ili upate justification ya kufanya mambo yako hata mtu awe perfect vipi hutoona mazuri yake, coz umeconcentrate na negativities tu.

Ndoa ni kubebeana mizigo. But it seems hiyo habari inahusu tu wanawake kwa wanaume still ni msamiati. Uvumilivu ni terminology inayoapply kwa wanawake zaidi. Mke atavumilia mume akiwa hana kitu, akishindwa kumzalisha, akichepuka, nguvu za kiume kushney, bado utaona mke yupo radhi kumstiri mumewe. Sasa subiri mume awe na vijicent au mke ushindwe kuzaa. Akikuheshimu sana basi ataenda kuzaa nje kimya kimya otherwise utaambiwa tu "bana mimi siku zote nilikuwa na ndoto ya kuwa baba na kuongeza ukoo wangu, hivyo siwezi kuishi bila mtoto, kwa hiyo kuna mwanamke nimeamua kuzaa naye". Tena wanaume wengine bila hata haya unakuta anaongea mbele za watu "mke wangu kanizalia watoto wa kike tupu, lazima nitafute wa kiume". Mkeo ndo anapanga jinsia ya mtoto puuuuuuuu

Mke ni msaidizi kweli sasa sijui atamsaidiaje mume asiyesimama mahali pake sahihi. Kuna ndoa / testimonies naangaliaga hadi Nabaki kujiuliza "hivi me Ntaweza kuwa kama huyu dada kwenye ndoa". Maana mke anasimulia yaliyompata kwenye ndoa, unaona kabisa hayavumiliki lakini still mke hakuacha kuibeba ndoa yake. Makanisani wanawake wamejazana mno, na wengi utakuta wapo pale kumlilia Mungu kwa ajili ya ndoa zao. Sasa mwanamke jisahau tu kidogo uone kama kesho hujaletewa mke mdogo. Nyie wanaume ndo hamumjui Mungu au? Maana nyie kuwavumilia wake zenu mnaona kama mtadharaulika mtaitwa MABWEGE ( na hiki ndo kilichowajaa zaidi),

But trust me mume na yeye akiamua akasimama kwa ajili ya ndoa yake, ndoa inasimama. Msione kama jukumu la kuipa uhai ndoa yenu ni la mke zaidi. Mke akikosea wewe ndo wakumrudisha kwenye mstari. Kabla hujaanza kuweka rekodi ya mapungufu ya mkeo, basi anza kuhesabu yake mazuri yake. Michepuko inanyenyekea tu coz inajijua ni mijizi na kuna competition. Ukiugeuza kuwa mke na wenyewe utaanza kujisahau tu (na sio kama.huwa tunajisahau makusudi, majukumu ni mengi jamani). Msiishi kama nomadic pastoralist kudhani kuwa the pasture is always greener on the other side.

Kwenye ndoa msiishi kwa kutegeana Mungu, Kila mtu akeep it 100% ( 50/50 myth inaua ndoa nyingi), hata mwenzako akiteleza utamnyanyua coz umejicommit kujenga Ndoa bora. Shirikianeni, kuna tatizo basi wasilianeni mjue mnasolve vipi matatizo yenu. Msiwe watu wa kuhesabu mabaya tu, wekeni record ya mazuri ya wenza wenu, na muwe mnasameheana kwa dhati.

naamini wanaume waliosimama ulichokiandika roho zao zimebadilika kwa kiasi fulani......mungu akubariki kwa ujumbe wenye hekima
 
It's not that easy my sis, ar u married?

Hii kauli wengi walio kwenye ndoa huiongea sana, sasa huwa najiuliza hivi kwanini ung'ang'anie kukondeshana nafsi kama mmejitahidi sana kurekebisha hali ikashindikana? Wengine huishia kuuana, au ndio ile utajua namna ya kuvuka mto ukifika mtoni!!
 
Back
Top Bottom