Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,559
Nafahamu wanawake wengi sana ambao ndoa zao zipo juu ya mawe kwasababu walikuwa desperate kuolewa.
Mtu anakuja bila kuwa na mbele wala nyuma ila wao wanamkubali, mwisho wa siku wanakuja kulialia hapa.
The bigest miastake ever!! Bavaria hii mifano sio kwa wanawake tu ipo hata kwa wanaume pia ambao wanalia na wanawake waliokosea kuwaoa.
Hii ya kuwa desparate na kujibebea tu inatucost hatari lakini sijui kwanini hatujifunzi, tena wakuta mwanamke anaenda mbali hadi kumpa mwanaume mahari amtolee au hata kugharamikia harusi!!
Last edited by a moderator: