Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Kwa taarifa yako waleta pesa nyumbani sikuhizi ni kina mama. Hiyo picha uliyochora hapo juu ni picha ya kufikirika bongo hii ya leo.
Na mada za shida nilizosoma humu ndani si za wanawake magolikipa. Ni watu Wana kazi tena wanaingiza kuliko waume zao.
apologize lady alikuwa aseme kinachowapa kiburi wanaume hawa ni nini sijui kaishia wapi
Nimeecha kwakua nikisema hapa tutalowa mapovu.