Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Kwanini kulaumiana wanawake/wanaume katika suala la ndoa?

Si Fonabo bwana, ndio kujua gani kule? Na lile gitaa ndio akanimaliza kabisaaaa, pamoja utaalamu wote pia ni.........

Say that magic word again.

Teh teh..Hizo mbwembwe tu...Si twataka burudani..Ilo gitaa mtafute aje kukupigia chumbani
 
Huyu nilishamwambia ye atakuwa anakata viuno pale..Mana anajua sana kuzungusha lol

Hasira na usingizi umeisha, haya niambie maana najua hata wewe leo pombe haipo kichwani.
 
Hatutaki watazamaji wasiotunza. Shurti mtazamaji kama lile bonge lilokuwa linamwaga mapesa kwenye bss

Basi ngoja nimtafute papaa mmoja nitakuwa nakuja nae, kwahiyo andaeni hivyo viuno vizuri sio tuje tumwage pesa wakati hakuna cha maana mnachofanya.
 
Back
Top Bottom