Usiwe muongo, magufuli ni msukuma, Tanzania inajua na Chato inajua
hakubaliki kwa kuwa sio mlevi asilimia kubwa arusha na mbeya ni ulevi usio na tija.
arusha moshi wachinjie mbuzi na pombe umewamaliza
magufuli sio msukuma wewe kaulize tena
Ccm hamtakagi wakweli ndiyo maana mliwafukuza kina Himid na Mzee Moyo
Acha ujinga,na usishabikie kitu ambacho hukijui,chato gani wewe unayoijua ya Chalinze?Usiwe muongo, magufuli ni msukuma, Tanzania inajua na Chato inajua
vipi kuondoka kwa mzee Lowassa? halafu ukome kuniita ccm, mimi ni rais mzalendo wa taifa hili. basi.
watu wa ccm akili zao zinatoka chooni na kinyesi ndio sababu mtaji wa chama chenu ni mataahira
Huyu anayesema Arusha na moshi ukiwachinjia mbuzi na pombe umewamaliza mbona ccm wao hawachinji kama ni mbinu ya ushindi
Somalia