Kwanini Kinana huwa hakubaliki kwao Arusha?

Atakubalika atakaporudisha zile mashine za kufua nguo za hospitali ya mkoa wa arusha alizopeleka kwenye dry cleaner yake
 
Ni vigumu kubeza kazi aliyofanya kuimarisha chama kilichoelekea kufa kabisa. Amejitahidi kwakweli. Lakini hali ya CCM mkoa anaotoka si ya kuelezea, alipokelewa na kichapo cha kata 4 wakati ameteuliwa kuwa katibu mkuu.

Akapata balaa lingine baada ya karibu viongozi wote wa mkoa huo kumfuata Lowassa Ukawa kabla ya kupata kipigo cha kuambulia jimbo moja ktk uchaguzi mkuu mkoa mzima. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa upande wa madiwani kwan ktk majimbo matatu ya Arumeru Magharibi, Mashariki na Arusha mjini Ccm ilipata kata 3

Baada ya hapo Arusha hawakuridhika, kwenye uchaguzi wa kumchagua Lema juzi ktk vituo zaidi ya 500 Ccm walipgiwa vituo vyote isipokuwa 10 tu!. (kumbuka Lema si mzaliwa wa Arusha) Kinana aliongozana na Mkapa na Mwigulu kujaribu kuokoa jahazi.

Kinana na Ccm yake kwa nini hawakubaliki nyumbani?

Una uhakika kina.na kwao ni Arusha ama ili mradi umeweka bandiko hapa
 
Arusha na Somalia wapi na wapi !.Asili ya Kinana ni Somalia Arusha alikuja kama mhamiaji tu akapewa ubunge akaruhusu mirungi mji mzima ukachafuka ikbidi tumtoe haraka.
 
Ni vigumu kubeza kazi aliyofanya kuimarisha chama kilichoelekea kufa kabisa. Amejitahidi kwakweli. Lakini hali ya CCM mkoa anaotoka si ya kuelezea, alipokelewa na kichapo cha kata 4 wakati ameteuliwa kuwa katibu mkuu.

Akapata balaa lingine baada ya karibu viongozi wote wa mkoa huo kumfuata Lowassa Ukawa kabla ya kupata kipigo cha kuambulia jimbo moja ktk uchaguzi mkuu mkoa mzima. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa upande wa madiwani kwan ktk majimbo matatu ya Arumeru Magharibi, Mashariki na Arusha mjini Ccm ilipata kata 3

Baada ya hapo Arusha hawakuridhika, kwenye uchaguzi wa kumchagua Lema juzi ktk vituo zaidi ya 500 Ccm walipgiwa vituo vyote isipokuwa 10 tu!. (kumbuka Lema si mzaliwa wa Arusha) Kinana aliongozana na Mkapa na Mwigulu kujaribu kuokoa jahazi.

Kinana na Ccm yake kwa nini hawakubaliki nyumbani?
Tatizo la Arusha ni North Pole. Ukitaka akubalike ajiunge na CHADEMA uone kama hataitwa shujaa
 
Wachaga wamewazidi Kete watu wote akiwemo kinana. Natives yaani kabila la waaraarusha miaka 10 iliyopita natives (waarusha)walikua almost asilimia 90 ya madiwani wote ni wao! Leo arusha 90 ya madiwani ni wachaga+mbunge na ukiangalia population Yao it's like 30% .huko moshi it's totally different its impossible huwezi kua hata mjumbe wa mtaani kama sio mchanga.

Acha ukabila hautakufikisha mahali
 
Back
Top Bottom