Kwanini Kinana huwa hakubaliki kwao Arusha?

Kwanini Kinana huwa hakubaliki kwao Arusha?

Nothern pole? yeye hatoki kaskazini?
Ajiunge na CHADEMA! Shida ya huko ni NGO binafsi iliyoanzishwa kwa malengo ya kuwanufaisha sana north pole. Nje ya NGO hiyo unahesabiwa adui
 
Kinana ni haramia hafai mbugani , wala jangwani!!
 
Muulize ile dry cleaner ya mount meru waliyopewa msaada iko wapi ikaja kuanza kutumika kama mali binafsi na falc*n dry cleaners iko wapi?
 
Ajiunge na CHADEMA! Shida ya huko ni NGO binafsi iliyoanzishwa kwa malengo ya kuwanufaisha sana north pole. Nje ya NGO hiyo unahesabiwa adui

Sioni tofauti yako na ID yako
 
Hivi kweli mtu unaweza kuita watu wa jimbo zima walevi? Kisa hawakuchagua unachotaka!

Mkuu achana na huyo hakuna kitu kinacho wauma ccm kama kupoteza mikoa kama meya Arusha Tanga na miji mikubwa kama Iringa mjini Bukoba mjini
 
12341514_10208019229307840_1471310886399824444_n.jpg
Kwasababu yeye HAYUKO KAMA HAWA ...........................................................................................
 
Wachaga wamewazidi Kete watu wote akiwemo kinana. Natives yaani kabila la waaraarusha miaka 10 iliyopita natives (waarusha)walikua almost asilimia 90 ya madiwani wote ni wao! Leo arusha 90 ya madiwani ni wachaga+mbunge na ukiangalia population Yao it's like 30% .huko moshi it's totally different its impossible huwezi kua hata mjumbe wa mtaani kama sio mchanga.
Uko sahihi kabisa................
 
Ni vigumu kubeza kazi aliyofanya kuimarisha chama kilichoelekea kufa kabisa. Amejitahidi kwakweli. Lakini hali ya CCM mkoa anaotoka si ya kuelezea, alipokelewa na kichapo cha kata 4 wakati ameteuliwa kuwa katibu mkuu.

Akapata balaa lingine baada ya karibu viongozi wote wa mkoa huo kumfuata Lowassa Ukawa kabla ya kupata kipigo cha kuambulia jimbo moja ktk uchaguzi mkuu mkoa mzima. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa upande wa madiwani kwan ktk majimbo matatu ya Arumeru Magharibi, Mashariki na Arusha mjini Ccm ilipata kata 3

Baada ya hapo Arusha hawakuridhika, kwenye uchaguzi wa kumchagua Lema juzi ktk vituo zaidi ya 500 Ccm walipgiwa vituo vyote isipokuwa 10 tu!. (kumbuka Lema si mzaliwa wa Arusha) Kinana aliongozana na Mkapa na Mwigulu kujaribu kuokoa jahazi.

Kinana na Ccm yake kwa nini hawakubaliki nyumbani?
Lema na kundi lake waliiba kura ni wezi na majambazi
 
Kinana hatoshi kubadili upepo wa siasa Arusha, watu wengi wa Arusha wameenda shule, wanajiamini, hawahongeki kwa khanga wala kofia, wao wanasema kula ccm lala chadema. Hali ya uchumi Arusha ni nzuri tofauti na mikoa mingine ambao ni rahisi kuhongwa na kuhongeka kulingana na uduni wa maisha na kukosa elimu. Ni rahisi sana watu wa arusha kichagua cha kingine zaidi ya chadema kulikoni kurudi ccm siku za usoni.
Kwa hiyo tatizo sio kinana bali watu wa arusha wamepiga mahesabu ya mbali wakajua ccm hailipi
 
Asante kamanda, kuna ukweli ktk ulichoandika
 
Back
Top Bottom