Kwanini Kinana huwa hakubaliki kwao Arusha?

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Ni vigumu kubeza kazi aliyofanya kuimarisha chama kilichoelekea kufa kabisa. Amejitahidi kwakweli. Lakini hali ya CCM mkoa anaotoka si ya kuelezea, alipokelewa na kichapo cha kata 4 wakati ameteuliwa kuwa katibu mkuu.

Akapata balaa lingine baada ya karibu viongozi wote wa mkoa huo kumfuata Lowassa Ukawa kabla ya kupata kipigo cha kuambulia jimbo moja ktk uchaguzi mkuu mkoa mzima. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa upande wa madiwani kwan ktk majimbo matatu ya Arumeru Magharibi, Mashariki na Arusha mjini Ccm ilipata kata 3

Baada ya hapo Arusha hawakuridhika, kwenye uchaguzi wa kumchagua Lema juzi ktk vituo zaidi ya 500 Ccm walipgiwa vituo vyote isipokuwa 10 tu!. (kumbuka Lema si mzaliwa wa Arusha) Kinana aliongozana na Mkapa na Mwigulu kujaribu kuokoa jahazi.

Kinana na Ccm yake kwa nini hawakubaliki nyumbani?
 
hakubaliki kwa kuwa sio mlevi asilimia kubwa arusha na mbeya ni ulevi usio na tija.
arusha moshi wachinjie mbuzi na pombe umewamaliza
 
hakubaliki kwa kuwa sio mlevi asilimia kubwa arusha na mbeya ni ulevi usio na tija.
arusha moshi wachinjie mbuzi na pombe umewamaliza

is that your course

where does it take you, kuwasema wanambeya na arusha, be positive life is not all about minding people's personalities
😀😁😂
 
Wachaga wamewazidi Kete watu wote akiwemo kinana. Natives yaani kabila la waaraarusha miaka 10 iliyopita natives (waarusha)walikua almost asilimia 90 ya madiwani wote ni wao! Leo arusha 90 ya madiwani ni wachaga+mbunge na ukiangalia population Yao it's like 30% .huko moshi it's totally different its impossible huwezi kua hata mjumbe wa mtaani kama sio mchanga.
 
Back
Top Bottom