Kwanini Kinana huwa hakubaliki kwao Arusha?

Wachaga wamewazidi Kete watu wote akiwemo kinana. Natives yaani kabila la waaraarusha miaka 10 iliyopita natives (waarusha)walikua almost asilimia 90 ya madiwani wote ni wao! Leo arusha 90 ya madiwani ni wachaga+mbunge na ukiangalia population Yao it's like 30% .huko moshi it's totally different its impossible huwezi kua hata mjumbe wa mtaani kama sio mchanga.

Kumbuka aliemuangusha mwanri siha ni MMASAI, so ishu ya ukabila Arusha Moshi haipo, ELIMU, ELIMU, ELIMU ndio kigezo, unaweka diwani asiejua kusoma na kuandika? Kiongozi hata kusoma kiapo chade shida? Mtasubiri sana, Kinana na magamba waliidhoofisha sana Arusha sasa subirini Arusha yenye neema.
 
Kwao ni Arusha au Hargeisa?!

Ni vigumu kubeza kazi aliyofanya kuimarisha chama kilichoelekea kufa kabisa. Amejitahidi kwakweli. Lakini hali ya CCM mkoa anaotoka si ya kuelezea, alipokelewa na kichapo cha kata 4 wakati ameteuliwa kuwa katibu mkuu.

Akapata balaa lingine baada ya karibu viongozi wote wa mkoa huo kumfuata Lowassa Ukawa kabla ya kupata kipigo cha kuambulia jimbo moja ktk uchaguzi mkuu mkoa mzima. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwa upande wa madiwani kwan ktk majimbo matatu ya Arumeru Magharibi, Mashariki na Arusha mjini Ccm ilipata kata 3

Baada ya hapo Arusha hawakuridhika, kwenye uchaguzi wa kumchagua Lema juzi ktk vituo zaidi ya 500 Ccm walipgiwa vituo vyote isipokuwa 10 tu!. (kumbuka Lema si mzaliwa wa Arusha) Kinana aliongozana na Mkapa na Mwigulu kujaribu kuokoa jahazi.

Kinana na Ccm yake kwa nini hawakubaliki nyumbani?
 
Kwani arusha ndio kwao kinana ? Somalia na elephant ?
 
Wachaga wamewazidi Kete watu wote akiwemo kinana. Natives yaani kabila la waaraarusha miaka 10 iliyopita natives (waarusha)walikua almost asilimia 90 ya madiwani wote ni wao! Leo arusha 90 ya madiwani ni wachaga+mbunge na ukiangalia population Yao it's like 30% .huko moshi it's totally different its impossible huwezi kua hata mjumbe wa mtaani kama sio mchanga.

Sasa Haya Yanahusianaje Na Post Hii? We F.A.L.A Kweli.Mbunge Wa Siha Aliyemwangusha Aggrey Mwanry Anaiwa Aloyce Mollel,si Mzawa Wa Kilimanjaro. Acha Kuleta Ubaguzi Wa Kilofa Kenge Wa Mayai Wewe!!
 
Sasa Haya Yanahusianaje Na Post Hii? We F.A.L.A Kweli.Mbunge Wa Siha Aliyemwangusha Aggrey Mwanry Anaiwa Aloyce Mollel,si Mzawa Wa Kilimanjaro.Na Aliyeangusha Na Lema Arusha Ni Mollel Pia,Acha Kuleta Ubaguzi Wa Kilofa Kenge Wa Mayai Wewe!!
 
Wanasemaga Chadema ni chama cha kaskazini, wakifika kasikazini wanajaribu kuwagawa tena na kusema ni cha wachaga
 
Kwani Kanali Kinana anakubalika wapi? Bila kuongezewa nguvu na 'system' hakubaliki popote

Mzee Tupatupa
na hapa unadhihirisha kwa vitendo kuwa wewe ni kibaraka kutoka mtaa wa ufipa kinondoni. hakuna mwana-ccm mwenye uthubutu wa kumsema Kinana ambaye alikuta chama kinaelekea shimoni lakini kakirudisha kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mafisadi yanakatwaaaaaaaa.
kila la heri kibaraka wa ufipa na fitna zako.
 
Sasa Haya Yanahusianaje Na Post Hii? We F.A.L.A Kweli.Mbunge Wa Siha Aliyemwangusha Aggrey Mwanry Anaiwa Aloyce Mollel,si Mzawa Wa Kilimanjaro. Acha Kuleta Ubaguzi Wa Kilofa Kenge Wa Mayai Wewe!!

Hili jibu ulilompa linamfaa sana! Kuna watu akili zao zinawaza ukabila tu!
 
na hapa unadhihirisha kwa vitendo kuwa wewe ni kibaraka kutoka mtaa wa ufipa kinondoni. hakuna mwana-ccm mwenye uthubutu wa kumsema Kinana ambaye alikuta chama kinaelekea shimoni lakini kakirudisha kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha mafisadi yanakatwaaaaaaaa.
kila la heri kibaraka wa ufipa na fitna zako.

Yeye mbona hakujikata?
 
Ccm hamtakagi wakweli ndiyo maana mliwafukuza kina Himid na Mzee Moyo
 
Sasa Haya Yanahusianaje Na Post Hii? We F.A.L.A Kweli.Mbunge Wa Siha Aliyemwangusha Aggrey Mwanry Anaiwa Aloyce Mollel,si Mzawa Wa Kilimanjaro.Na Aliyeangusha Na Lema Arusha Ni Mollel Pia,Acha Kuleta Ubaguzi Wa Kilofa Kenge Wa Mayai Wewe!!

...hawa kenge wa mayai nilisoma mahali wanapatikana kwa wingi somalia!!
 
Wachaga wamewazidi Kete watu wote akiwemo kinana. Natives yaani kabila la waaraarusha miaka 10 iliyopita natives (waarusha)walikua almost asilimia 90 ya madiwani wote ni wao! Leo arusha 90 ya madiwani ni wachaga+mbunge na ukiangalia population Yao it's like 30% .huko moshi it's totally different its impossible huwezi kua hata mjumbe wa mtaani kama sio mchanga.
Acha chuki za Ukabila usije kutuletea vita kama Ruanda. Nchi hii kila mtanzania ana haki ya kufanya makazi popote nchini bila kubaguliwa. Dar ni mkoa Wa wazaramo lakini kila mtanzania anaishi bila bugudha. Hakuna aliyefanya choice ya kuzaliwa alipo.Bravo Wachaga mko juu kila lofa anawasema
 
Back
Top Bottom