Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Kwao ni wapi vile?? Umesema Arusha au mgadishu??
kwao ni Pwani ya Baidoa
Kwao ni wapi vile?? Umesema Arusha au mgadishu??
We unayebisha unatoka mkoa gani? tuachie wanaojua zaidi yako basi
amini unachoamini, hata ukisema mchagga sawa tu, yani haujui kazi kubisha tu..namfaham mdogo wake vizuri niwasukuma.Acha ujinga,na usishabikie kitu ambacho hukijui,chato gani wewe unayoijua ya Chalinze?
We unayebisha unatoka mkoa gani? tuachie wanaojua zaidi yako basi
Acha ubaguzi wa kijinga wewe Fal*a mbunge wa Moshi mjini ni Msambaa na alimuangusha Mchaga.Wachaga wamewazidi Kete watu wote akiwemo kinana. Natives yaani kabila la waaraarusha miaka 10 iliyopita natives (waarusha)walikua almost asilimia 90 ya madiwani wote ni wao! Leo arusha 90 ya madiwani ni wachaga+mbunge na ukiangalia population Yao it's like 30% .huko moshi it's totally different its impossible huwezi kua hata mjumbe wa mtaani kama sio mchanga.
Kwani Kanali Kinana anakubalika wapi? Bila kuongezewa nguvu na 'system' hakubaliki popote
Mzee Tupatupa
Ogopa Arusha Monaban amewalisha wanaume wenzake ugali bure kwa mwezi mzima mfululizo lakini CCM imeangukia pua.