Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,385
basi sawa tujitathmini aiseeDunga Road nayo mbongo alipewa
Ova
basi sawa tujitathmini aiseeDunga Road nayo mbongo alipewa
Ova
Za dmdp or ULGSP sio za tarura?, issue ni budget wala tusilete longolongo. Tarura halmashauri nyingi budget ni between 1 to 2b ambayo kwa kiwango cha AC haizidi 2km sasa unafikiri watafanya maajabu gani. Back to the topic local contractor wanakabiliwa na tatizo la mitaji baada ya mikopo ya bank kuhitaji dhamana kubwa tofauti na unachoomba, pili mchina anaoffer low price na mtaji wa kutosha kiasi kwamba hata akicheleweshewa malipo anaweza kuendelea na kazi kwa kiasi tofauti na wazawaTazama bara bara za tarura...kisha linganisha za dmdp