FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 603
- 397
Mwaka 2010,wakazi wa Iramba Magharibi waliamua hatma yao ya miaka mitano kwa kwenda kupiga kura katika masanduku ya kura.Yawezekana walidhani ni jambo jepesi na lisilohitaji tafakuri nzito.
Wao walitaka mbunge wa Iramba Magharibi.Kwa hiari, huku mioyo yao, ikijaa furaha ,nyuso zao zikionyesha matumaini, wananchi hao walimchagua mgombea wa CCM, Msomi wa UDSM, na Mchumi Daraja la Kwanza.
Sasa wakazi wa Iramba na Singida kwa ujumla wameduwaa na wasielewe kilichotokea jana.Wanashangaa pia wanaposikia michango na makeke, kiburi cha Mbunge wao katika Bunge la Bajeti.Walitaka kiongozi lakini wamepata laghai na tapeli la kisiasa.
Wanashtuka kuona muwakilishi wao ni mzinzi na Muuaji anayefurahia kuona wanadamu wenzake wakifa,alimradi apate anachotafuta.Sasa wamebaini walitapeliwa. Nasi tunawahurumia Ndugu zetu wa Iramba Magharibi.
Wametambua kuwa walichagua KIONGOZI MWANDAMIZI WA MAUAJI wakati wao walitaka MWAKILISHI WA WANANCHI.Nawasikitikia Wana Iramba. Kwa sasa hawana la kufanya na watalazimika kuishi na matokeo ya uamuzi wao ule wa mwaka 2010.
Wakazi wa Iramba,mwaka 2010, huenda hawakuona mbadala wa tapeli huyu. Sasa ubashiri wetu ni kuwa Dkt. Kitila Mkumbo anataka na yupo tayari kuonyesha uongozi Iramba Magharibi ifikapo mwaka 2015. Wakati ukifika, mpeni nafasi Dokta awatumikie.
T