Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

Hakuna la kubisha kuwa wale vijana walipewa chochote ili kufanya fujo.haingii akilini akalte fujo kwenye mkutano wa watu bila kuhofia afya yako,,nakumbuka kwenye uchaguzi wa arumeru yeye alisababisha kijana mmoja wa ccm kidogo apoteze uhahi kwenye chumba cha kujumlishia kura,hii ni baada ya kushuhulikiwa na lema na heche,mpaka mkuu wa kituo cha polisi usa akawambia mmeua.
Nawashauri vijana wa ccm acheni na fedha za mwinulu zitawaua someni nyakati
 
Leo jioni hii wakati mbunge wa viti maalum CDM akichangia alilitaka jeshi la polisi kumchunguza Lameck Mkumbo Madelu aka Mwigulu Nchemba kwani katika chaguzi mbalimbali ndogo kama za Kiteto, Tarime,Busanda na Biharamulo watu hawakuwahi kuuwawa baada ya uchaguzi .

Ila chaguzi zote ambazo zimesimamiwa na Lameck Mkumbo Madelu za Igunga aliuwawa kijana Mbwana Masoud wa CDM na Arumeru Mashariki aliuwawa kijana Mmbwambo Msafiri ni kwanini jeshi la polisi hawajachunguza jambo hilo?Mwigulu anahusika je? mbona hawachukui hatua za kumchunguza kwani hata vijana waliokamatwa huko Singida wametoka dar ndio walikodiwa na mwigulu kwenda kufanya fujo na wameua mtu huko.

Hili ni fumbo , nawasilisha .
 
Amepunjwa sifa zake, anzia alipokuwa BOT, Gavana Daudi Balali pia aliuawa kwa sumu! Liangalieni vizuri jiuso na minjino yake, na matamshi yake, ni liuaji hivihivi, time will tell!
 
leo jioni hii wakati mbunge wa viti maalum cdm akichangia alilitaka jeshi la polisi kumchunguza lameck mkumbo madelu aka mwigulu nchemba kwani katika chaguzi mbalimbali ndogo kama za kiteto, tarime,busanda na biharamulo watu hawakuwahi kuuwawa baada ya uchaguzi .

Ila chaguzi zote ambazo zimesimamiwa na lameck mkumbo madelu za igunga aliuwawa kijana mbwana masoud wa cdm na arumeru mashariki aliuwawa kijana mmbwambo msafiri ni kwanini jeshi la polisi hawajachunguza jambo hilo?mwigulu anahusika je? Mbona hawachukui hatua za kumchunguza kwani hata vijana waliokamatwa huko singida wametoka dar ndio walikodiwa na mwigulu kwenda kufanya fujo na wameua mtu huko.

Hili ni fumbo , nawasilisha .

umenikumbusha mbali...hivi mwigulu nchemba original anaposikia huyu mbunge lameck mkumbo madelu anatumia jina lake anajisikiaje???
 
umenikumbusha mbali...hivi mwigulu nchemba original anaposikia huyu mbunge lameck mkumbo madelu anatumia jina lake anajisikiaje???

Huyo mwenye jina lake halisi sijui Kama atathubutu kulitumia tena, limetiwa uvundo hata akigombea ujumbe wa mtaa sijui Kama atapata.
 
...mi namwonea huruma sana mwiguru! soon alivyoteuliwa hicho cheo alirud kiomboi na kuombewa ofsi za ccm vp tena....?
 
mwigulu si muungwana hata kidogo yupo kimaslahi zaidi kama walivyo mafisadi wengine ndani ya ccm magamba.
 
Back
Top Bottom