Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

Burn Karudi,inaonekana wewe ni Mwigulu na ndugu zako Salome na Martha Mlatha,

Mlishaonyesha siasa za vurugu hata mimi ni shahidi.
Swala la Chadema hapa litazungumzwa lakini Mwigulu wewe ni killer.,

I will stand on that,kwa sababu ulijaribu na ukashindwa kwenye mkutano wangu.

Mamii huyo kwenye avatar yako ndio Junior au?
 
Damu ya mtu Singida haiwezi kufutika mikononi mwa CDM kwa kuandika umbeya, majungu na fitina. Ni vyema CDM ikajitenga na hao wauaji wachache kuliko kuendeleza fitna huku mitandaoni au kama mnaweza elezeni hayo maneno Iramba.
wewe ndo mmbeya no 1 tena ushindwe kwa jina la cdm...chadema ni wasafi hawajawahi kuua na hawana hiyo historia na nchi 2nabeba 2015 by thuon or by moos
 
Tanzania ni Nchi yangu na wala sikuichagua! Napenda niishi maisha marefu ili nione hatma yake pamoja na watu wake hususan wanaofikiri kuwa wataishi milele bila kufa!
 
Hivi kwenye zoezi la usajili wa vitambulisho vya utaifa, computer system itakubali ku-install Mwigulu Nchemba wawili?.
.
 
Wewe kitakacho kuuwa wanaume za watu, na hukuanza kwa mume wa Rose Kamili taarifa zako kutoka Kigoma zipo nyingi zinasubiri muda tu.

sidhani kama hilo linahusika hapa mkuu, ukisikia paaaa,,,,,,,,,,,
 
Ngoja afya ya huyo mzee itulie asije kuondoka kwa presha ila usidhani kuna kupumzika.

Mkuu hebu jikite kwenye ku-discuss hoja badala ya mambo binafsi. Huyo mdada akikuachia position aliyonayo wala hutoiweza.
 
Hivi kwenye zoezi la usajili wa vitambulisho vya utaifa, computer system itakubali ku-install Mwigulu Nchemba wawili?.
.

wako wenye majina hayo wawili?
na ya kati yanafanana?
aliuza vyeti?
aliiba vyeti?
hebu tujuze kidogo ndugu!
asante
 
Nami hupata hisia mbaya kila nikimwangalia huyu mwigulu na skafu ya bendera ya taifa shingoni. Hisia zinaniambia kwamba kuna jambo lisilo la heri limejificha ndani mwake.
 
wako wenye majina hayo wawili?
na ya kati yanafanana?
aliuza vyeti?
aliiba vyeti?
hebu tujuze kidogo ndugu!
asante

.
Hilo jina ni la mwenye nalo ambae alifaulu mtihani na kutokea hapo kama liliporwa ama kununuliwa sijui, ila ninachojua ni kwamba Mwigulu Nchemba halisi yupo na kichwa chake cha kufaulu mitihani kii pamoja nae tofauti na huyu wa Singida.
Ndio maana nimuuliza ikiwa kama system itakubali kuwa na mwigulu nchemba wawili.
.
 
CCM watapata shida na huyu kijana. Na kama hawakuchukuwa hatua mapema tarehe 1/1/2016 tutakuwa tunaanza maandalizi ya ama mahakama za Gacaca (kama Rwanda) au/na tume ya usuluhishi kama ile ya Afrika Kusini.
 
Wewe kitakacho kuuwa wanaume za watu, na hukuanza kwa mume wa Rose Kamili taarifa zako kutoka Kigoma zipo nyingi zinasubiri muda tu.
Kumbe na kazi za kupiga ramri unaziweza! mimi mwanzo nilidhani ujuzi wako ni kupiga vuvuzera la CCM bila kutumia akili. Loo! muuaji mkubwa usiye na chembe ya huruma!
 
Toa taarifa hizo,siogopi chochote wewe ni killer no matter what.

Sema chochote kinachonihusu.
Mume wa mtu,unamjua wewe sasa ni wakwangu na itabaki kuwa hivyo.
Hapoi utasema sana,kusanyeni taarifa za kutosha juu yangu mzilete hapa.

hee,yaani huoni aibu na uzee wote huo unapora mume wa mtu na unaendelea kuzini nae hadi leo?shame on u,huna mungu ww
 
sasa huku hatuingii maana wauaji kumbe wapo na matusi karibu yataanza hebu tuwekeni wazi, Mauaji kweli mnayafurahia?
 
Back
Top Bottom