Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

Nashukuru umejitokeza kwani hii nayo ni ID yako. Lkn naomba unijibu jinsi unavyojisikia kwa haya mauaji unayohusishwa nayo?

Hapo ndipo mnaponishinda, inakuwaje unaanzisha uongo wewe mwenye na pia unauamini wewe mwenyewe?
 
Wewe kitakacho kuuwa wanaume za watu, na hukuanza kwa mume wa Rose Kamili taarifa zako kutoka Kigoma zipo nyingi zinasubiri muda tu.

Toa taarifa hizo,siogopi chochote wewe ni killer no matter what.

Sema chochote kinachonihusu.
Mume wa mtu,unamjua wewe sasa ni wakwangu na itabaki kuwa hivyo.
Hapoi utasema sana,kusanyeni taarifa za kutosha juu yangu mzilete hapa.
 
Toa taarifa hizo,siogopi chochote wewe ni killer no matter what.

Sema chochote kinachonihusu.
Mume wa mtu,unamjua wewe sasa ni wakwangu na itabaki kuwa hivyo.
Hapoi utasema sana,kusanyeni taarifa za kutosha juu yangu mzilete hapa.


Ngoja afya ya huyo mzee itulie asije kuondoka kwa presha ila usidhani kuna kupumzika.
 
Nimeanza kumuona huyu kama yule Molema wa ANC... lakini huyu akiwa na criminal proclivities..
 
Ngoja afya ya huyo mzee itulie asije kuondoka kwa presha ila usidhani kuna kupumzika.

Mwigulu,
Naomba uwe na respect kwenye mantiki ya hii thread na usianze kuleta mambo yako na J hapa. Naomba unijibu ndipo uanze na mengine tafadhali. Mchemba naomba jibu, kwani hii nayo ni ID (Burn Karudi) yako.
 
Nimeanza kumuona huyu kama yule Molema wa ANC... lakini huyu akiwa na criminal proclivities..

Ni kweli ndugu yangu MMM, lkn anakoelekea siyo salama kabisa kwani hizi damu zinazomwagika na kila wakati anahusishwa hazitamwagika bure.
 
Huu muda mngeutumia kuongea na mawakili wenu mtafute jinsi ya kumsaidia mtuhumiwa wa mauaji ndugu Mwita Mwikabe. Damu ya mtu haifutiki kirahisi, nadhani wooote waliokaa Mikocheni kupanga mauaji haya wananielewa namaanisha nini.[/QUOTE
Wewe ndiyo Mwigulu? hapa anayetakiwa kujibu ni yeye na mleta uzi ametaka ajibu yeye acha kudandia ndugu usiwe kama mwananke anayependa kuiba waume za watu.
 
Chama chetu ni chama cha wauaji(chichiem)
siku hizi hatufanyi siasa tena bali tunapambana na chama kinachopendwa zaidi kwa sasa cdm.
Siasa za ustaarabu sisi ccm zimetushinda!
 
Na kama una busara ungeachana na hiyo mipango yako michafu sana utaishia kwa ocampo na ccm hautaiokoa na kuzama badilika na hizo siasa zako chafu na kuwachukia Cdm ambao wapo kwa mujibu wa sheria.
 
Kama CCM ingekuwa na masikio huyu jamaa wangemuweka kando, anaiharibia CCM. Sikiliza hata maneno na hotuba zake za kwenye kampeni katika chaguzi mbalimbali hana lolote la maana analolisema mbali ya kebehi na matusi kwa wapinzani. Wananchi wanataka kujua kero zao zinazowakabili zinatafutiwa ufumbuzi ki vipi na chama tawala hawataki kusikia vijembe kwa wapinzani.

Huyu jamaa ni janga kwa Chama Cha Mapinduzi!!!!!

Tiba
 
Chemba likifumuka balaa tupu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Dah! Mkuu Your Thread is making a lot of Sense.

1. Igunga: Mwigulu alikuwa ndiye Mratibu wa Kampeni, yeye ndiye aliyekuwa anatunga Mbinu zote za Kupambana na Wapinzani wa CCM. Watu walipigwa, Watu WALCHINJWA na Wengine Kujeruhiwa

2. Arumeru Mashari: Mwigulu alikuwa ndiye Mratibu wa Kampeni, yeye ndiye aliyekuwa anatunga Mbinu zote za Kupambana na Wapinzani wa CCM. Watu walipigwa, Watu WALICHINJWA na Wengine Kujeruhiwa.

3. Sasa Iramba nasikia tena kuna Mtu Kauwawa na Mbinu zinazotumika ni zilezile za Mwigulu

Ukimwangalia Mwigulu anapojibu Hoja za Wapinzani Bungeni, Ni Mtu Aliyejaa Chuki ambayo kama Angekuwa na Bunduki Basi angeweza hata kuwaua Wapinzania wake (Hasa Mnnyika). Anaonekana ni Mtu mwenye Roho Mbaya isiyo ya Ubinadamu

Ni Mmoja wa Viongozi wa CCM wanaoamini katika VITISHO ili Watanzania wasiiunge Mkono Upinzani. CCM imechokwa sana.

Juzi kuna Mtu Alileta Mada hapa juu ya CCM na Mkakati wa Kuanza Kuwafuatlia Watumishi wa Uma wasio unga Mkono CCM. Watu Walimbeza Mtoa Mada But I'm Telling huo ndio Mpango and Do you who is Behind That Mpango?....

Siasa za Vitisho Hazitaisha, Taarifa za Watu Kuuwawa Hazitaisha As far as tuna Viongozi Wenye Mikono ya Damu kama Mwigulu.

Asante sana Mtoa Mada. Ngoja tuendelee Kufungua hii Pandora Box.

Ila Nawaambia akina Nape na Mwigulu Njia wanayojaribu kutumia kukiokoa Chama Chao Inaweza ikagharimu Amani ya Nchi yetu. Watu watachoka kuona Wapendwa wao WANACHINJWA kama Kuku kwa Sababu tu akina Mwigulu wanataka kuona CCM inatawala Milele.

Tunasema Enough is Enough

Mauaji ya Igunga, Arumeru Mashari na sasa Singida Mchemba anapaswa Aohojiwe
 
Mods naomba msiufute ukweli huu, maana naona siku hizi mmeanza kuingiwa na kauoga wa Hard facts.
Angalieni, tangu Mh Mwigulu apeewe wadhifa mkubwa ndani ya chama chake na kusimamia chaguzi ndogo, mambo yamekuwa kama yafuatavyo;
1. Igunga, alikuwa ndie mratibu wa kampeni hiyo kwa chama chake, tumeshuhudia mauaji ya kutisha ambayo hatujapata kuyaona katika chaguzi zote tangu nchi kupata Uhuru.
2. Arumeru, alikuwa tena mratibu wa kampeni hiyo, tumeshuhudia mauaji ya kutisha kushinda yale ya Igunga.
3. Jimboni Kwake, ikumbukwe CDM kabla kwenda jimboni kwa Mwigulu jana, walishafanya mikutano mikubwa ya kutikisa ardhi DSM, Mtwara, Lindi, na wala hakukuwa na tafrani yoyote, hata kule jimboni kwa Mh Membe aliwakaribisha Makamanda nyumbani kwake, wakala chakula pamoja, walipoondoka ndipo na yeye akapanda jukwaani kujibu mapigo, lakini jana kuanza tu jimboni kwa huyu Mwigulu, tayari ameuawa mtu.
Hivi Ni lazma uwe Great Thinker ndio uweze kuunganisha dots hizi kupata picha halisi ya connection ya huyu jamaa na mauaji haya?
System ya CCM ni mafia kubwa kuna vitengo ambavyo wengine hatuvifahamu,huyu jamaa amepewa majukumu na chamatawala kwani wamegundua kila watakalofanya kwa njia ya amani halitawanusuru kwa hiyo ni vurugu na hatimae kutangaza hali ya hatari na jukumu hili amepewa jamaa huyu Nchemba.Hapa kuna sababu nyingine huyu jamaa alikua BOT ingawa baada ya ufisadi wa EPA lakini kuwepo kwake ni wazi ana siri nzito kuhusu madudu ya CCM ,Serikali na JK na wote wanamuogopa kumgusa pamoja na madudu anayoyafanya.Kwa kifupi yeye ndio alieshika mpini wa kisu na utawala,CCM na JK hawana la kumfanya hivyo anafanya kila analotaka bila kumuogopa yoyote kwani akipiga chafya wameaangamia.Rostam Azizi alikua anapesa (Pesa zetu alizoziiba) Nchemba ambae ni mtandao wa Rostam ana siri za madude yote ya CCM,Serikali na JK kuhusu swala la EPA hii ndio inampa kiburi.Wanaendelea kufarakana ndani ya CCM ninaimani yangu mambo yakiwa mazito huyo Mwigulu Nchemba atarusha kete yake ya mwisho kuhusu madude ya Serikali,CCM na JK kuhusu mambo ya EPA kama atawahi kabla ya kumfanyia yaliyomkuta Dr.Mwakyembe,Ulimbboka,Kolimba N.K MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Huu muda mngeutumia kuongea na mawakili wenu mtafute jinsi ya kumsaidia mtuhumiwa wa mauaji ndugu Mwita Mwikabe. Damu ya mtu haifutiki kirahisi, nadhani wooote waliokaa Mikocheni kupanga mauaji haya wananielewa namaanisha nini.

kumbe mmesha bambika case kama kawaida yenu!
 
Ngoja afya ya huyo mzee itulie asije kuondoka kwa presha ila usidhani kuna kupumzika.

wewe na josephine ni nani ana haki ya kudai Dr ni mchumba wake? Mbona unaonesha una hasira na huu uchumba?

Ni wewe uliyeweka pinga mizi?

Sema mambo yawe wazi maana umeshindwa kujibu tuhuma nadhani utajibu hayo maswali.
 
Damu ya mtu Singida haiwezi kufutika mikononi mwa CDM kwa kuandika umbeya, majungu na fitina. Ni vyema CDM ikajitenga na hao wauaji wachache kuliko kuendeleza fitna huku mitandaoni au kama mnaweza elezeni hayo maneno Iramba.
Kwanini damu hiyo isimwagwe kwengineko, inamwagika kule ambako wewe unahusika tu, kwani unadhani hatujui ulikuwa unawasiliana na Mbwambo kule Arumeru, ulimuhonga fedha ili aisaliti CDM, akakataa na ukamuahidi kuwa maisha yake yatakuwa hatarini? Ulimtishia kwa njia ya simu na akakurekodi, akasambazo vitisho vyako, ndio maana ulipoamuru akachinjwe ukasisitiza wachukue simu yake, dhalimu mkubwa wewe! Utaishia Kama walivyoishia madhalimu wa aina yako! Mungu atakulipa hapahapa duniani, ahera kutaenda mahesabu tu! Kwanini unapenda kumuonea Waitara? Hata kule Igunga uliwatuma kina Bulaya na Aeshi kupiga risasi kambini alikolala Waitara kisha ukawaagiza Polisi wamuweke ndani Waitara, kisha ukawatuma Majambazi wako aka Green guards wamteke na kumtesa na kumuua kikatili Khalid Masoud wa CHADEMA, sasa jana kijana wako uliyemlipa aongoze vurugu mkutano wa CDM aliposhindwa kukamilisha mission hiyo umeagiza auwawe ili wengine utakaowatuma wapate fundisha, na umejitapa kuwa wewe ni Mafia wakati unaagiza mauaji ya jana, bila aibu unataka kumsingizia tena Waitara. You Have Too Much Blood In Your Hands, You Wont Make It Through! Mark my Words!
 
Back
Top Bottom