Kwanini Kila Anapohusika Mwigulu Watu Wanauawa?

Mwaka 2010,wakazi wa Iramba Magharibi waliamua hatma yao ya miaka mitano kwa kwenda kupiga kura katika masanduku ya kura.Yawezekana walidhani ni jambo jepesi na lisilohitaji tafakuri nzito.

Wao walitaka mbunge wa Iramba Magharibi.Kwa hiari, huku mioyo yao, ikijaa furaha ,nyuso zao zikionyesha matumaini, wananchi hao walimchagua mgombea wa CCM, Msomi wa UDSM, na Mchumi Daraja la Kwanza.

Sasa wakazi wa Iramba na Singida kwa ujumla wameduwaa na wasielewe kilichotokea jana.Wanashangaa pia wanaposikia michango na makeke, kiburi cha Mbunge wao katika Bunge la Bajeti.Walitaka kiongozi lakini wamepata laghai na tapeli la kisiasa.

Wanashtuka kuona muwakilishi wao ni mzinzi na Muuaji anayefurahia kuona wanadamu wenzake wakifa,alimradi apate anachotafuta.Sasa wamebaini walitapeliwa. Nasi tunawahurumia Ndugu zetu wa Iramba Magharibi.

Wametambua kuwa walichagua KIONGOZI MWANDAMIZI WA MAUAJI wakati wao walitaka MWAKILISHI WA WANANCHI.Nawasikitikia Wana Iramba. Kwa sasa hawana la kufanya na watalazimika kuishi na matokeo ya uamuzi wao ule wa mwaka 2010.

Wakazi wa Iramba,mwaka 2010, huenda hawakuona mbadala wa tapeli huyu. Sasa ubashiri wetu ni kuwa Dkt. Kitila Mkumbo anataka na yupo tayari kuonyesha uongozi Iramba Magharibi ifikapo mwaka 2015. Wakati ukifika, mpeni nafasi Dokta awatumikie.

T
 
Nimesikitishwa sana, Mwigulu is a bloody vampire,hebu tuchunguze kama anahusika pia kwenye tukio la kutekwa doctor ulimboka
 
Mungu mkubwa vyombo vya usalama vinawohoji woote walioshiriki kumuua kikatili kijana wa kitanzania. Mwenyezi Mungu amlaani huyo aliyetoa nyumba yake tena iliyorithi kutoka kwa baba yake mtu muadilifu rafiki wa baba wataifa itumike kupanga mauaji ya raia.
Kumbe unajua kuwa vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi, sasa wewe Mwigulu Kiherehere cha nini?

Umeshamuhukumu Waitara kuwa ndie alieua, una maana alishuka jukwaani akaenda kuua kisha akarudi kuendelea na hotuba?! Mbona wewe kila mara unawatukana viongozi wa CHADEMA majukwaani (hata juzi kule Sumbawanga) lakini mbona wafuasi wa CHADEMA hawakurushii mawe?

Kwanini wafuasi wa CCM wakarushe mawe kwenye mkutano wa CHADEMA na huku polisi wakiangalia, mlitarajia nini?
 
Mods naomba msiufute ukweli huu, maana naona siku hizi mmeanza kuingiwa na kauoga wa Hard facts.
Angalieni, tangu Mh Mwigulu apeewe wadhifa mkubwa ndani ya chama chake na kusimamia chaguzi ndogo, mambo yamekuwa kama yafuatavyo;
1. Igunga, alikuwa ndie mratibu wa kampeni hiyo kwa chama chake, tumeshuhudia mauaji ya kutisha ambayo hatujapata kuyaona katika chaguzi zote tangu nchi kupata Uhuru.
2. Arumeru, alikuwa tena mratibu wa kampeni hiyo, tumeshuhudia mauaji ya kutisha kushinda yale ya Igunga.
3. Jimboni Kwake, ikumbukwe CDM kabla kwenda jimboni kwa Mwigulu jana, walishafanya mikutano mikubwa ya kutikisa ardhi DSM, Mtwara, Lindi, na wala hakukuwa na tafrani yoyote, hata kule jimboni kwa Mh Membe aliwakaribisha Makamanda nyumbani kwake, wakala chakula pamoja, walipoondoka ndipo na yeye akapanda jukwaani kujibu mapigo, lakini jana kuanza tu jimboni kwa huyu Mwigulu, tayari ameuawa mtu.
Hivi Ni lazma uwe Great Thinker ndio uweze kuunganisha dots hizi kupata picha halisi ya connection ya huyu jamaa na mauaji haya?

Hata alipokuwa ''jimboni'' Benki Kuu Gavana wake aliuawa
 
Hata alipokuwa ''jimboni'' Benki Kuu Gavana wake aliuawa

He, kweli Kabisa! Gavana wa BOT Bw Balali aliuawa huyu Mwigulu akiwa huko, naona CCM walipogundua kipaji chake hicho cha uuaji ndipo wakamchukua jumla, haya sasa kazi ndio kama tuionavyo!
 
Wakuu MgungaMiba na Albedo nakubaliana na hoja zenu. Huyu jamaa tayari ni janga la CCM na nchi yetu. Ameteuliwa ktk nafasi ambayo hakua na uwezo nayo! Ktk kiwewe cha CCM kuwavutia vijana,bila maandalizi Kikwete aliwaingiza vijana ktk sekretarieti ya CCM Taifa. Matokeo ndiyo haya. Jambo jingine nadhani huyu kijana ana msongo wa mawazo,baada ya kusikia Dr. Kitila anaweza akagombea ubunge ktk jimbo analoongoza sasa. Amejenga chuki kwa CDM kiasi kwamba hata akiwa anaongea bungeni unaona wazi. CCM imebeba mizigo mingi,lakini huu wa Nchemba naona ni zigo la mavi!
 
ukiuwa kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga.. Mwigulu, unajifanya burn karudi, umeshindwa kujibu hoja hapo juu, umeratibu mauwaji kwa tamaa zako. Mungu atakuumbua kama Kova, very soon.
 
Mods naomba msiufute ukweli huu, maana naona siku hizi mmeanza kuingiwa na kauoga wa Hard facts.
Angalieni, tangu Mh Mwigulu apeewe wadhifa mkubwa ndani ya chama chake na kusimamia chaguzi ndogo, mambo yamekuwa kama yafuatavyo;

1. Igunga, alikuwa ndie mratibu wa kampeni hiyo kwa chama chake, tumeshuhudia mauaji ya kutisha ambayo hatujapata kuyaona katika chaguzi zote tangu nchi kupata Uhuru.

2. Arumeru, alikuwa tena mratibu wa kampeni hiyo, tumeshuhudia mauaji ya kutisha kushinda yale ya Igunga.

3. Jimboni Kwake, ikumbukwe CDM kabla kwenda jimboni kwa Mwigulu jana, walishafanya mikutano mikubwa ya kutikisa ardhi DSM, Mtwara, Lindi, na wala hakukuwa na tafrani yoyote, hata kule jimboni kwa Mh Membe aliwakaribisha Makamanda nyumbani kwake, wakala chakula pamoja, walipoondoka ndipo na yeye akapanda jukwaani kujibu mapigo, lakini jana kuanza tu jimboni kwa huyu Mwigulu, tayari ameuawa mtu.

Hivi Ni lazma uwe Great Thinker ndio uweze kuunganisha dots hizi kupata picha halisi ya connection ya huyu jamaa na mauaji haya?

Mwigulu kila anachojihusisha nacho kinakufa/kuuawa....and so is CCM....soon!
 
Ila huyu jamaa anaroho ngumu sana, kitakachokea ikunjika kutakuwa ni kakuna kurudi, mwisho wako Nchemba upo karibu than you think
 
Kwa maana hiyo usahihi ni kuwa Mwigulu anahusika kwa kuwatumia vijana viroba walewe na kuleta fujo. Kuhusika moja kwa moja ni kama na yeye angeingia front. But what's wrong with Mwigulu? Igunga mtu aliuwawa na mwingine kuporwa mke, Arumeru mtu aliuwawa na sasa jimboni kwake. ICC ya Ocampo ilikuwa na nguvu sana tofauti na huyu mama wa sasa.

Well said huyu mama jamaa wanamuangalia kama alivyokuwa salim ahmed salim. Huwa ufahamu wao unaisha wanapokutana na ujamaa, na comrade (vichaa) wa africa na Asia.Na ndio maana baada ya ushawishi wetu katik UN kuondoka (muda wetu kuisha katika Baraza la Usalama la UN) Migiro nae kapigwa chini.Hakuwa competent huyu mama.By now Tanzania government ilipaswa kuwa designated ktk kategory ya Syria
 
Huyu ametangulizwa mbele ni chambo tu then waliomuweka wanasoma upepo kwa kila event anayofanya ila at last lazima wamuuwe kwa sababu anajua mambo yao mengi na huko aliko kuna MAKUNDI yanayotofautiana. Like Nape like Mwigulu
 
Hizo ndizo za sisiem. Wiki jana kulikuwa na mgomo wa daladala Arusha na Moshi. sisiem walikodi wanachama wao kwa kuwalipa shilingi elfu thelathini chanzo ni sisiem. Hebu jaribuni google mgomo wa daladala Moshi hapa janvini muone jamaa hawa walivyoishiwa.Katibu wa sisiem wilaya ya moshi ndiye aliyekuwa mwandaaji wa yote hayo. watu waliteseka sana. wamekwisha.
 
kama hii michango yote inayotolewa kuhusu mwigulu huku JF ina ukweli ndani yake, basi nampa ushauri mwigulu wa kutafuta namna aende Nigeria kwa T.B Joshua akaombewe, bila shaka atakuwa na 'pepo' au 'roho' ya uuaji na ukahaba. Mungu amsaidie aweze kufunguka apatiwe msaada wa maombi.
 
Mwigulu kila anachojihusisha nacho kinakufa/kuuawa....and so is CCM....soon!

Yeah! Sure, the final death toll will include the party itself, au Chama chake kiwahi kumteketeza yeye, (ingawa itasingiziwa CDM) the sooner the better!
 
Mchungaji pole, hata wakimfichia aibu hapa Mwenyezi Mungu atamuumbua tu.
yan mwingulu una diriki kumtaja mungu wewe muaji!
Nawewe lazima utaumbuka tu kwa laana ya kupanga mauaji

bila aibu unaomba muongozo kuna vifo vingapi haukuomba muongozi kama hoja binafsi?

Au umesahau ya Arumeru na singida au hao sio watu, yan mwingulu laana ina kutesa na haita kuacha!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom