Inaonesha kiasi gani Wana JF mlivyo washamba hivi inaamana hamjui kama Wizara ya Mambo ya ndani , Wizara ya Ulinzi na Wizara ya muungano na Mazingira ni Wizara za Muungano? Kwa mujibu wa Katiba Wizara zote za Muungano Rais wa Jamhuri ya Muungano anamamlaka ya kuteua Mawaziri, Makatibu Wakuu hadi Makamishina acheni Ushamba nyie CHADEMA