Kwanini Kamishna wa Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais wa Zanzibar?

IGP ni mkuu wa polisi wa Tanzania nzima sio bara peke yake
Kama unajua ilo mbona unauliza mkuu wa polisi wa Zanzibar hateuliwi na rais wa Zanzibar jeshi lote lipo chini ya rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndio maana rais wa Zanzibar hateuwi,sada na yeye akiteuwa kunakuwa na mamlaka ngapi za uteuzi na ndio maana kaapishwa na IGP kwa niaba ya rais
 
Pumbav, mmeanza kupigania Bendera na wimbo wa Taifa wakati Taifa hamna!

Zanzibar ndio Soko la Watumwa na ukijiona uko Zanzibar Jua Babu zako waliuzwa huko ndio Wewe ukazaliwa huko,
Na Rais wenu wote wanachaguliwa na Wafipa na wanyaturu wa huku bara kuanzia Jumbe mpaka Shein lakin mko bize kupigania Eti 'wimbo wa Taifa'

Rais wa 7 pia mtaletewa huko 2020 baada ya Wagogo na Wamakonde kumchagua Dodoma
Hahahaa nakuambia wewe mtupu kichwani..kasome na Anza kujufunza Taifa la Zanzibar limeanza lini na Biashara ya utumwa imekuja lini? ndiyo utajua ya kuwa wale wote waliokuwa wanakuja znz waliuzwa nje? wewe babu zako sijui walisalimika vp yaani ingetuepusha sana na upuuuzi wako.
Jumbe amekuja znz tayari ana akilizake. hajazaliwa znz..shein wacha owongo
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?

Zanzibar siyo nchi, hivyo haiwezi kuwa na dola. wanaruhusiwa kuwa vikundi vya sungusungu vitavyotambuliwa na kuidhinishwa na Jeshi la Polisi pale inapobidhi kuwana uhitaji huo. Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndo Amiri Jeshi Mkuu.
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Haiwezekani mkawa na mamlaka kamili ya kiulinzi na usalama mtaleta shida ninyi!
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Kwasababu Zanzibar sio nchi.
 
Muulize mkuu wa kaya ndogo Zanzibar.
 
Hilo si jamii forums tu bali watanzania wote hawajui mkataba wa muungano na yepi mambo si ya muungano na limitation za mamlaka ya raisi wa JMT na raisi wa ZNZ. tatizo nilichogundua hapa watu wanajifanya wajuaji lakini vichwani hamna kitu na wengie wao wanaishia kutoa maneno ya kejeli kwani huo ndiyo mwisho wa kufikiria kwao na njia pekee ya kutojulikana weakness yao ni kuaza kutoa maneno ya kejeli na matusi.
Wajiulize kwa nini Raisi wa Jamuhuri ya muungano tangu ilipoasisiwa nchi hii hajawahi kukagua gwarinde sherehe za mapinduzi kama yeye si amiri jeshi Mkuu na kama Raisi wa znz ni mjumbe wa nyumba 10 au mjumbe wa baraza la mawaziri tu nimambie kwa nini anakagua na hakuna kiongozi hata mmoja wa SMT alisema nyoko na niambieni waziri mkuu gani wa Tanzania amewahi kupigia miziga.. hayo majibu mtakayoyapata yanaweza kukupeni akili
MOSI,NIKUMBUSHE KM KUNA SIKU YA MAPINDUZI ZNZ AMBAPO SALAMU YA UTII YA JWTZ IMETOLEWA WAKATI AMBAPO RAISI WA JMT HAYUPO ZNZ KWENYE UWANJA ILA RAIS WA ZNZ YUPO UWANJANI?

PILI,NYERERE ZNZ ALIKUWA AKIENDA KUKAGUA GWARIDE LIPI?PIA NIKUMBUSHE MIZINGA INAPIGWA WAKATI WA NYIMBO GANI YA TAIFA INAPIGWA?

TATU,PROTOKALI NI KUWA MWENYE SHEREHE NDIO ANAPAMBIWA NA NDO MGENI RASMI SIO LAZIMA AWE MKUBWA MFANO KWENYE HARUSI BWANA HARUSI NA BIBI HARUSI WANAINGIA MWISHO KWANI INAMAANISHA YEYE NDO MKUBWA KULIKO WAZAZ WAKE ?KIKUBWA NI KUWA YEYE NDIE KAWAALIKA NA NDO MWENYE SHEREHE.

NNE,KWA MFUMO WETU SHEREHE /MAADHIMISHO YA MUUNGANO NI MAADHIMISHO MAKUU KULIKO YA MAPINDUZI NA UHURU JE MGENI RASMI NI NANI?MAANA MWENYE MIPAKA MAJESHI ,FEDHA,UHAMIAJI NA MABALOZI NA POLISI NDO MWENYE MAMLAKA YA JUU YA NCHI.
MWISHO TUNAOMBA TUREJEE KESI YA UHAINI YA MAALIM SEIF DHIDI YA ZNZ,TUPEWE RULLING JAMVINI ILIKUWAJE ?
 
Siku mfuko / wakipata mafuta na gas wakamudu bajeti jeshi lao tutawapoteza.Yamefanyika makosa kuruhusu gas na mafuta sio jambo la muungano.
 
Siku mfuko / wakipata mafuta na gas wakamudu bajeti jeshi lao tutawapoteza.Yamefanyika makosa kuruhusu gas na mafuta sio jambo la muungano.

Yakipatikana yatarudishwa kwny mambo ya Muungano

Tanganyika haigombanii Mimba, inasubiri Mtoto azaliwe ndio iamue imchukue au laa!
 
Back
Top Bottom