Kwanini Kamishna wa Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais wa Zanzibar?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,702
45,025
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
 
Ulinzi ( polisi, jeshi, usalama,immigration)ni suala la muungano.
Na amiri jeshi mkuu ni Rais wa jamhuri ya muungano
KMKM ndo wanateuliwa na Rais wa Zanxibar.
 
Yale mambo ya muungano kama unayaelewa mkuu hili halikupi shida anyway ni katiba inamruhusu.
 
Umeshawahi kusikia mwenyekiti wa serikali ya mtaa anateua mkuu wa kituo cha Polisi?
Consigliere naona unalenga kuwarusha roho wazanzibari hapo. Ukweli ni kuwa Rais wa Zanzibar hawezi kuwa sawa na mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Suala la ulinzi na usalama wa nchi ni la muungano na ndio maana huyo afande hakuteuliwa na Rais wa Zanzibar.
 
Ulinzi ( polisi, jeshi, usalama,immigration)ni suala la muungano.
Na amiri jeshi mkuu ni Rais wa jamhuri ya muungano
KMKM ndo wanateuliwa na Rais wa Zanxibar.

KMKM ni kikundi cha kuzuia magendo ya karafuu
Kwa huku bara hao ni Sawa na Sungusungu wanaochoma nyavu za uvuvi haramu!

Hao ndio Rais wa Znz kapewa Mamlaka ya kuwateua ili wamzuge
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Hilo jambo la muungano ndio maana ameapishwa na IGP!
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Mkuu mbona hujauliza kwamba Zanzibar mkuu wa jeshi la polisi anakua kamishina wa polisi(CP) ambao pia huku bara wapo lakini kule ndo anakua mkuu wa jeshi ilo kwa upande ule na huku bara tuna Inspector General police(IGP)?
 
Back
Top Bottom