Kwanini Kamishna wa Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais wa Zanzibar?

Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Shein anateua mkuu wa KMKM, JKU NA MAFUNZO(prison), POLICE NA JW wakomchini ya AMIRI JESHI MKUU pia mshahara unawalipa wewe wa bara. SMZ Hailipi salary zao
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?

Jeshi la Polisi au Usalama wa raia ni mambo ya muungano. Na, kuna nafasi ambazo zinajazwa kwa uteuzi wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano. Raisi wa Zanzibar ana nafasi zake za uteuzi kwenye vikosi vya KMKM
 
Hahaha cha ajabu hapo kipi?! Mbona hata Rais Sheni hakuchaguliwa na wananchi lakini bado ni rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar?!
Wao serikali hii hawafuati katiba wala sheria, walisema katiba na sheria siyo kipaumbele chao, wao wanafuata na kutekeleza ILANI ya chama chao. Tatizo mnasahau haraka mno.
 
Hata Rais Sheni aliteuliwa na chama chake kwa mujibu wa ILANI ya chama chao, tume ikamtangaza kuwa rais, hakuchaguliwa na wananchi, kwani hilo nalo ni la muungano?! Labda ILANI inasema hivyo, mtajuaje nanyi hamuisomi?! mmekazana na katiba wakati wao wanatumia ILANI, Waacheni wazanzibari na taifa lao.
 
Ila kiukweli aina yetu ya muungano ni wa ovyo sana mimi nionavyo ilitakiwa tuchague ama tuwe na serikali tatu au moja tu huu ukakasi wote ungeondoka,maana ebu fikiria ni vipi vyombo hivi vya ulinzi na usalama ambavyo ndio walinzi wa viongozi na wananchi lakini kiongozi huna mamlaka navyo!
umeongea la msingi sana
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?

Kwasababu Commander In Chief ni mmoja yule aliemteua JPM
 
Sijawahi kuona nchi moja ina Amiri jeshi Mkuu wawili si ndio ndugu zangu au nadanganya ndugu zangu hahahahaha
 
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?
Exactly. Waulize hawo Wapumbavu wanaonsema vibaya Waziri Palamagamba Kabudi.
 
Ulinzi ( polisi, jeshi, usalama,immigration)ni suala la muungano.
Na amiri jeshi mkuu ni Rais wa jamhuri ya muungano
KMKM ndo wanateuliwa na Rais wa Zanxibar.
Sawa kabisa. Hata RPC lazima achaguliwe na Rais. Sasa inawezekanaje Raiscwa Zanzibar augawe Mkoacwa Kaskazini-Kusini bila kibali cha Rais, huyo RPC atampataje?
 
kw
Nimeona Kamshina wa Polisi Mohamed Hassan Haji ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa Kamishna wa Jeshi hilo kwa upande wa Zanzibar.

Kwanini uteuzi wa Kamishna wa Polisi wa Zanzibar ambaye ni kama Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar hateuliwi na Rais Shein wa Zanzibar? Mbaya zaidi hata kiapo chake kimefanyika Bara na sio huku Visiwani?[/Q simple mbona..hyo nkwa sababu raisi wa jamhuri ndio amir jesh mkuu
 
Back
Top Bottom