Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 939
- 4,426
JK amejilimbikizia majumba ambayo hakuna kiumbe anayeyatumia ipasavyo. Yapo utilized kwa less than 20%.
Katika kuwasaidia wananchi wa kijijini kwao kwanini asiuze nyumba yake aliyopewa na serikali then ajenge chuo au hospitali pale Chalinze watoto wapate elimu?
Naona hali hiyo pia ipo kwa Marehemu Mzee Mwinyi na Mkapa. Wamepewa majengo ambayo kwa hali ya kawaida familia zao zinajitegemea tayari.
Kwanini hawa viongozi au familia zao wasipige mnada nyumba walizopewa wakasaidia wananchi wa maeneo yao ya asili?