Kwanini JF ni tamu kuliko kazi?

Kwanini JF ni tamu kuliko kazi?

sorry bestito sijakutukana bali nakukumbushia ubunge wako usijepokonywa na walanguzi akina Asprin na daddy kwani nilimsikia daddy watu8 wakiongea kuwa lazima lile jimbo walitoe mikononi mwako hivyo nakupa habari motomoto za home best

Daddy dearest watu8 come this way wewe na babu Asprin nasikia mna mpango wa kunyang'anya jimbo la Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Mke wa rais ni first lady, vp kuhusu mke wa waziri mkuu, jaji mkuu, makamu wa rais, wazir, mbunge, diwani, katibu kata etc....

Makamu wa Rais mkewe ataitwa - Sekandi ledi

Waziri Mkuu mkewe ataitwa - Thedi ledi

Mmhh kimbembe kitakuwa kwa hao wengine teh teh!!!
 
tangia 2009 bado uko hapa ? sijui kama ubunge safari hii hutaupata maana waonekana hata robo REP.P hujafikisha
Join Date : 4th February 2009

Location : NYUMBANI PANONO
Posts : 16,125

Rep Power : 31437


Mke wa rais ni first lady, vp kuhusu mke wa waziri mkuu, jaji mkuu, makamu wa rais, wazir, mbunge, diwani, katibu kata etc....
 
Boss wangu ndo aliniintroduce humu...na nmekua addicted kuliko yeye cku hizi, as am writing nw kuna vimeo vinanisubiri mezani ila no prblm coz Boss ndio chanzo... JF so addictive
 
Back
Top Bottom