Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

Kwanini infidelity imeongezeka sana kwa jamii yetu?

Binafsi I don't know why people cheat. Unakuta watu wengi especially women end up stepping out their relationships/marriages (start sleeping around) cause somebody cheated on them. Don’t let a cheater change who you are! Do not block your blessing from our God Almighty so you can get even with a cheater…it’s not worth it. I’ve come to realize that you can be the best woman/man there is but, if your partner is a cheater there is nothing you can do about it. At the end of the day, if you are in a marriage, do all you can, be the best wife/husband that you can be and leave the rest to God. Do your part and God will do the rest. When you GET TIRED or think his/her cheating might jeopardize your health then walk away. Make sure you give it all that way there will be no regrets! That’s my take.
Mkuu hiyo ID na mada ya cheating ambayo ni full maumivu mmmmmhhhhh
 
Hapo Kale
Due to polygamy men did not have to cheat waliweza kutembea na wanawake tele na ilikuwa sawa kwao, wanawake it was a no, no na ilikuwa ni sifa mbaya sana kwahiyo it was against culture and moral values na ilikuwa ni aibu kubwa..

Now
Most men are still doing what they used to do its just women have joined them...

About Cheating being inevitable
People don't have to cheat wanaweza wakachannel hio negative energy kwenye family building and something constructive..., kumbuka Idle Hands are Devils playthings.., kwahio ukijiendekeza na kujiweka kwenye kishawishi then nature will take its cause...

Pia kumbuka...
You will be happier to be cheated sometimes than never to trust.., and for women... "If you marry someone who cheats of his wife you will be married to a man who cheats on his wife.." its a HABIT...
 
Life is a continous learning process,ulichokijua leo jana ulikuwa hukijui,kila siku tunapata ma experience mapya yanayotubadili perception yetu ya maisha. In other words mtazamo kuhusu cheating jana,juzi,mwaka uliopita si lazima uwe mtizamo wako leo. Mathalan bishanga mwaka jana nilikuwa cheater mkubuhu,could be leo nimeacha,why,labda dunia imenifundisha ubaya na madhara ya cheating.
To sum up😡The Boss na AshaDii achane na historia changieni uzi kwa muono wenu wa leo.

Nimekukubali Mukulu wa amaka, Ta Bishanga!!


Hivi ulipotelea/potezewa wapi?

Au ndo umekuja kutupatia feedback?

Thie bado tipo kama zamani....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekukubali Mukulu wa amaka, Ta Bishanga!!


Hivi ulipotelea/potezewa wapi?

Au ndo umekuja kutupatia feedback?

Thie bado tipo kama zamani....

Babu DC!!
Mzee wangu siku hizi nimechoka kufikiri,najipumzikia zangu chit chat,huko ni kubwabwaja tu kama vile unacheza na wajukuu.
 
Last edited by a moderator:
sasa kwanini maisha ya siku hizi yamehalilisha kias kwamba mtu anadiriki kusema kabisa unaanguka dhambii kisha unajifuta na kusonga mbele?

Naweza sema kuwa tamaa ndio sababu ya mtu kucheat,yawezakuwa tabia yake au analipiza kisasi,

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nitakupiga kare karufundi ka kwetu uimbe mpaka koo likukauke.


Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhh,

Asiyekujua anaweza kudhani kuwa Ta Bishanga leo kapuliza ile sigara kubwa....lol!!

Umenikumbusha guest houses za kule mahali ambazo madoro yake yote yamefunikwa na mipira ya kuzuia watoto wachanga ku-pee kwenye kitanda......Unaweza kuhisi zimewekwa kwa ajili ya watoto wachanga!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
leo napenda kujua kwanini watu huwa wanacheat wenzi wao? na je kwanini cheating imetoholewa kuwa kitu cha kawaida kabisa katika maisha ya siku hizi kiasi kwamba watu kama Asprin na DARKCITY wanasema ni inevitable?

Ndio hulka za binadamu zilivyo...maana it takes two to tango. Na tunayoyaona yanathibitisha cheating ipo tena ya hali ya juu sana.
 
Last edited by a moderator:
Miongoni mwa mada ambazo nakosaga guts kabisa kuchangia..lol........Cheating in all its ways is a mere 'adultery' .....hasahasa kwa walio ndoani!...Sijawahi kuambiwa sababu za msingi kutoka kwa mwanamke na wala mimi sina sababu za msingi za kuhalalisha hii kitu....Kama una dini stick kwenye mafundisho ya dini yako..na kama huna dini simamia kiapo chako cha ndoa.......Ila kiukweli siipendi sababu ya kusema 'usicheat kwa sababu kuna ukimwi'..hivi ukimwi ukipata dawa itakuwaje???......Halaf kingine nilichogundua sio kwamba sasaivi watu wanacheat sana kuliko zamani..no..inawezekana tu sasaivi 'watu wako informed kuliko zamani na sharing of information imekuwa kubwa'...zamani mtu alikuwa anaweza kumlea mtoto wa bwana wa nje ndoani miaka hata 40 bila watu kujua..i hope those old days watu walikuwa too secretive..lolz!
 
Siku hizi kucheat imekuwa kama fashion.
Wengine wanasema sababu ni pesa lakini tumekuwa tukiona watu wenye pesa lakini wenza wao wana wacheat!

Wengine wana sema nikutorizishwa kwenye tendo ndio sababu na hapo kila mtu umtupia lawama mwenzie.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhh,

Asiyekujua anaweza kudhani kuwa Ta Bishanga leo kapuliza ile sigara kubwa....lol!!

Umenikumbusha guest houses za kule mahali ambazo madoro yake yote yamefunikwa na mipira ya kuzuia watoto wachanga ku-pee kwenye kitanda......Unaweza kuhisi zimewekwa kwa ajili ya watoto wachanga!!

Babu DC!!
We acha tu,ndo utaratibu wa hoteli zote za bukoba,iwe hoteli kubwa au ndogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom