Cheaters @work usiku mwema
Siku hizi kucheat imekuwa kama fashion.
Wengine wanasema sababu ni pesa lakini tumekuwa tukiona watu wenye pesa lakini wenza wao wana wacheat!
Wengine wana sema nikutorizishwa kwenye tendo ndio sababu na hapo kila mtu umtupia lawama mwenzie.
Sijakuelewa mkuu,una maana watu wengi wana cheat au hawa cheat?Uzuri wa hii mada ni kwamba watu wengi wanapiga porojo...hakuna au ni wachache sana wanao-cheat, ingawa nyumba za kupanga wageni zinajaa na nyingine bado zinajengwa hata maeneo ambayo hayafikiki!!
Babu DC!!
Sijakuelewa mkuu,una maana watu wengi wana cheat au hawa cheat?
Hilo nshaliona siku nyingi.Ukisoma maoni na maelezo ya wadau wa MMU...wengi wanadai kuwa hawa-cheat...
Ndo maana nikasema kuwa inashangaza kwani ni tofauti na hali halisi kwenye uwanja wa mapambano!!
May be wadau wa JF MMU ni watu wazuri sana...huwa hawafanyi mambo hayo!
Babu DC!!
Hilo nshaliona siku nyingi.
Kuna siku nili wa challenge wanawake waolewa wa humu jf kwamba ambaye amewahi kum cheat mmewe akiri jamvini,ni mmoja tu alikiri tena kwa mbinde.We cheat a lot,wake kwa waume,hatutaki tu kukiri,tena wanawake wakicheat huwa hawakosi sababu,strange,sielewi kwa nini wanakataa kukubali kuwa tamaa ya ngono ndo inawasukuma,just like men.
babu kumbe na wewe mtundu??
Hii ndizi ya kupandikiziwa kwenye machungwa mawili kifuani ni ipi??
Am out!