Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,479
- 176,528
Hivi kumbe kutengeneza id hadi umuombe mod?Hata mimi nina ID moja tu. Labda tuombe msaada kwa mods watutengeneze ID mpya
![]()
![]()
![]()
Hivi kumbe kutengeneza id hadi umuombe mod?Hata mimi nina ID moja tu. Labda tuombe msaada kwa mods watutengeneze ID mpya
![]()
![]()
![]()
Hivi si mnifundishe jinsi ya kutengeneza id jamani!!Nilipata. Mimi nilikuja na ID hii hii sasa nashangaa mabandiko mengine new IDs
Ukitaka kubadilisha tu.Hivi kumbe kutengeneza id hadi umuombe mod?

Nataka kujua namna ya kufungua mpya, hii siibadili.Ukitaka kubadilisha tu.
Ila kama unataka kuwa id nyingine Ni wewe mwenyewe tu, ila baki na yako hiyo hiyo tu.
Ngoja nijaribu kufungua id nyingine nitafute mchumba humu![]()
![]()
Kesho tutaanza tuition saa mbili kamili asubuhiNataka kujua namna ya kufungua mpya, hii siibadili.
Unaenda kwenye register. Jinsi ulivyofungua hiyo process ni zile zileNataka kujua namna ya kufungua mpya, hii siibadili.
Hahaaaa!! Hii si mamluki watakuwa wengi.Nikufundishe ili iweje wakati naombea uje utafute mchumba na ID hio hio.
Mmmmh!! We usijenifundisha namna ya kujipiga ban ya maisha bureee!!Kesho tutaanza tuition saa mbili kamili asubuhi
Hii sikufungua mimi, nilifunguliwa.Unaenda kwenye register. Jinsi ulivyofungua hiyo process ni zile zile
Hata shetani akizeeka anakuwa malaika so sio kila siku mie mbayaMmmmh!! We usijenifundisha namna ya kujipiga ban ya maisha bureee!!
Mweeeeeh!! Bado nafsi nzito.Hata shetani akizeeka anakuwa malaika so sio kila siku mie mbaya
Kwani kipi kibaya nimekufanyia?Mweeeeeh!! Bado nafsi nzito.
Hata kukisema nashindwa.Kwani kipi kibaya nimekufanyia?
Usiposema sasa nitajuaje na nitajiepusha vipi isitokee tena jamaniHata kukisema nashindwa.
Kama unatumia app ya JF. Kwa juu kule upande wa kulia vidoti vitatu ukitachi pale inakuja options mojawapo ndio hiyo register. Ukifungua hiyo register inakuletea vitu vya kujaza mpaka usajili unakamilikaHii sikufungua mimi, nilifunguliwa.
Hiyo register naipata wapi?
Eti shem ni kweli umemuibia atoto mwanaume wake?Usiposema sasa nitajuaje na nitajiepusha vipi isitokee tena jamani
